Inaonekana Mambo Yameharibika, Madaktari waitana kujadili mustakabali wao na afya za wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inaonekana Mambo Yameharibika, Madaktari waitana kujadili mustakabali wao na afya za wananchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mangifera, Jun 1, 2012.

 1. m

  mangifera Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa Madaktari wote   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Safari hii musije mukabip fanyeni kweli nyie muna lia wenzenu siku 11 walikuwa kwenye viti virefu viitavyo semina elekezi Dodoma
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hawana tena ubavu wa kugoma chezea baba Mwanaasha wao!!!!! wasubiri mpaka 2015 wabadilishe utawala kutoka kwa marehemu CCM
   
 4. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kichwa cha habari kinaonyesha una matatizo katika uwezo wako wa kufikiria. Yaania kwako wewe madaktari wakiitana maana yake mambo yameharibika?!!!
  Kuna watu mnaishi mkiomba matatizo yatokee ndio msikie raha. Kama unapenda kuona matatizo si ununue DVD za movie za vita tu!
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Hawa wanafiki wakubwa
   
 6. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Si tulisikia gharama zimepandishwa ili kuboresha maisha ya madaktari kimetokea nini tena?????
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  :spit:
  :spit:
   
 8. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  Wakianza nitaziba masikio yangu na kufumba macho.
   
 9. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  JK aliwaambia kuwaondoa mawaziri sio issue hawakuamini.

  haya sasa mawaziri wameondolewa, je matatizo yenu ndio yamepatiwa ufumbuzi?

  Shame on u dr's.
   
 10. n

  nderingosha JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 3,527
  Likes Received: 1,314
  Trophy Points: 280
  we unaishi nchi gani we!! ohoo uko zenj eh!! no wonder...mna shida sana nyie watu.....anyway...Hoja za madaktari zitafanyiwa kazi tu..upende wewe usipende...tutaenda tu...mawaziri wameondolewa..hilo moja....call allowances zilipanda...sijui kama walijua hilo we....sasa bado yale mambo mengine ya msingi kama maslahi/mishahara ya madaktari/ubora wa mazingira ya utoaji huduma etc etc.. na mambo mengine katika mfumo wa afya TZ....tutapelekana mpaka tufike...watu wenye mawazo mgando kama wewe ndo mnachangia kuirudisha nyuma TZ...maana hambadiliki.....ignorant!!
   
 11. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  but siwalaumu madaktari kugoma...kazi zao na mazingira wanayofanyia kazi ni magumu sana
   
 12. r

  ralphjn Senior Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  That is not a point. kwani kazi za walimu ndo rahisi?Na mazingira wanayofanyia kazi walimu ndo mazuri?kiujumla wafanyakazi wote almost wanafanya kazi ktk mazingira magumu.Therefore kama ni kuboresha maslahi,that should cut accross all sectors.Maana inavyoonekana it is like kuna watu kazi zao zinaonekana ni za muhimu na watu wengine inaonekana kazi zao sio muhimu.It is a sectoral discrimination.
   
 13. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ukubali ukatae, Taaluma ya udaktari na kazi inayoambatana nayo ina umuhimu wake ambao pia ni tofauti na kazi nyingne.
  Hawa watu wanahusika na uhai wa binadamu, na huo ndo unyeti wake.
  Si kwamba kazi/taaluma nyingne si muhimu, ila madaktari wametambua umuhimu na hasa UNYETI wa kazi yao, hivyo kupigania maslahi bora zaidi.
  Km wengne nao wanadhani secta zao ni nyeti, wapiganie maslahi yao.
  Vinginevyo unapowashambulia madaktari, ni dalili za wivu tu.
   
 14. m

  mangifera Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msendekwa umesema vyema sana! Nchi hii haiendelei na watawala hawawajibiki kwa kuwa kuna wajinga wanaofikiri kama huyo jamaa hapo juu!Ni muhimu mtu kutetea haki yako kama unaona una haki na hujatendewa. Wafanyakazi wote tungekuwa kama madaktari hii nchi ingeshanyooka na hakuna mtu angethubutu kuwa fisadi na kuuza rasilimali zetu zote huku wafanyakazi tukiishi mazingira na maisha magumu na kufanya kazi zisizo na viwango! Madaktari hawajasema kazi ya mtu yoyote humu si nyeti, bali wamesema ya kwao ni nyeti! Inuka na wewe uonyeshe unyeti wa kazi yako na ujitetee. Kama umeridhika na upatacho, huku ukijua wazi kwamba yawezekana kupata zaidi, basi nyamaza kimya kwa aibu yako wewe na kizazi chako na utahusika kuidhoofisha taaluma yako na una deni la kulipa!!!
   
 15. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  safari hii hata wananchi watupige risasi huko mitaani. Haiwezekani mtu ametumwa kwenye kikao analazimisha data alizonazo yeye za uongo ndo zitumike.!! Mtu anaamua tu kucheza na vichwa vya watu eti kisa kasoma diplomasia russia. Serikali ya jk ina wapumbavu wengi sana. Yaani hata yale aliyoyaagiza pinda cpl wameyafuta eti tunatafuta modality ya kuyaweka!!..
   
 16. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Nitajie kazi ambayo sio ya mazingira magumu!
   
 17. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kuwa vuvuzela wa nape/ccm/serikali
   
 18. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Kukomaa kuwaondoa hao mawaziri hakika haikuwa tiba halisi kwao! Vuteni subira ndugu zangu labda hadi 2015.
   
 19. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mbona nyingi ukiwa ccm huna mazingira magumu wakati wowote unaweza kuwa mkuu wa mkoa au wilaya haina qualification na huna cha kufanya we ukiamka asubuhi unaingia ofisini kuangalia tv kama hamna kikao unaenda kuangalia ujenzi wa nyumba yako ya nyumba ndogo au kubwa....au unaita waandishi wa habari unafoka huyu mkandarasi usimlipe kajenga bara bara vibaya jioni unakutana na mkurugenzi unapata mshiko

   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Mkikubali tu kukaa meza moja na mukulu mmekwisha! Lile tabasamu sio bure.
   
Loading...