CCM Tunajipanga kwa Mapambano 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Tunajipanga kwa Mapambano 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, Jun 1, 2012.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Taarifa kwa WanaJF mlizoea kusema vibaya dhidi ya CCM wakati huo mkiwapa misifa CDM;

  CCM kama chama mama nchini mwetu tunaendesha mambo yetu kisayansi kwa kukaa chini na kutafakari kupitia vikao vya ndani ambavyo havihitaji kuandikwa kwenye magazeti. Ikumbukwe huu ni mwaka wa uchaguzi ndani ya chama ikiwa lengo kuu la uchaguzi ni kuwachuja makapi na kupanga timu ya USHINDI kuelekea 2015.

  Wapenzi na wakereketwa wa CCM mkae mkao wa KULA PWEZA ili kucharge nguvu, tupate mvurumisha CDM na vyama vyote vya upinzani.

  Msije kuumiza vichwa kutokana na ziara zisizo na tija zinazofanywa na askari uchwara wa CDM huku mikoani, hizo ziara zimepangwa kwa nia ya kuboresha mifuko ya viongozi wao kwa kulipana posho tu. Hizo mbinu za kufungua matawi papo kwa hapo pasipo uchambuzi yakinifu zimepitwa na wakati. Haingii akilini leo hii kwenda kijijini Mtwara kumuuzia mwanakijiji sera ya chama na siku hiyohiyo kufungua tawi!!!!!!!

  Kidumu chama cha mapinduzi na sera zake za kuwapa nuru watanzania.
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  lini vikao vyenu vikaleta vitu vigeni vyenye tija?hamna lolote
   
 3. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ugonjwa uliowapata, hamfiki 2015. Kama inawezekana, mpambane sasa hivi mkingali na damu kidogo.
   
 4. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 840
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Nitasema Kweli Daima, Fitina kwangu mwiko.
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Sikio la kufa,halisikii dawa!


  Wakatafute KANU ya jirani zetu Nchini Kenya iko wapi!
   
 6. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wananchi wameanza kurudisha imani kutokana na:

  1. Kuwatosa mawaziri ambao ni wakala wa ufisadi
  2. Iddi Simba kapelekwa Kisutu

  Pia tunafanya mchakato wa watoa siri nyeti ndani ya serikali na wakala wote wa CDM tunapiga chini
   
 7. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Mngemwondoa Chatanda kwenye safu za Uongozi wenu. Mlichelewa sana kumwondoa Makamba na akaacha chama hoi kabisa.

  Ndiye aliyeanzisha dhuluma ya wazi Arusha, wananchi wakaona wakakikataa chama, na mmezubaa bila kuchukua hatua moto umekuwa mkali wa M4C kiasi kwamba hausogeleki licha ya kuzimika.

  Kiburi na kutosikiliza wananchi wa kawaida kimechimba kaburi lenu. Poleni sana, we are moving ahead.

  Wana Historia mtamrekodi huyu mama mtakapokuwa mkizungumzia "the beginning of the end of CCM"
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280

  Sasa mbona umeanza kuyaanika hapa jamvini ? Na kwa nini mumeahirisha uchukuaji na urejeshaji wa form kwa wagombea ngazi mbali mbali kwenye chama lenu mfu?Mtahangaika sana lakini safari hii hamtoki, mumewadangaya watu wengi kwa muda mrefu lakini sasa hamuwezi kuendelea kuwaongopea tena, kiama chenu kimefika.
   
 9. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kuahirisha uchukuaji wa fomu na urejeshaji ni sehemu ya mkakati wa kujipanga upya. CCM ni jabari lina mbinu nyingi za kujihami na kujiokoa toka katika lindi la changamoto. Ni kweli tupo katika kipindi kigumu ambacho BUSARA na UZOEFU wa mapambano unatusaidia kukwepa dhoruba za CDM hatahivyo mwisho tutashinda
   
 10. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  teh!,teh!,teh!....mkubwa!..CCM ni sehemu ya vichaa waliwekwa sehemu moja ambao madaktari bingwa wa vichaa wamekata tamaa kabisa ya kuwaponya.
  Cha ajabu zaidi ni vichaa haohao wanao panga mkakati wa jinsi gani watapona,hapo unategemea nini kama si kila mtu kuanza kupayuja hovyohovyo.na kama ni sir wewe MAFILI kulikon hutuabalishe hapa?
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  Hapo kweye red kumbe wakati mwingine pamoja na unafiki wako huwa unakuwa mkweli , dada yangu dhoruba hii ni kali lazima jahazi lenu litazama, hii tufani si ya kupona mtu.
   
 12. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nadhani katika vibaraka wa Nape wewe utakuwa unalipwa vizuri sana, unajitahidi sana kukitetea chama chako.
   
 13. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Tangu lini mazoezi ya kujiandaa kwa Mechi ngumu yakafanywa siku ya Mechi yenyewe kama siyo uendawazimu na kujidhalilisha? Mmechoka mnaogopa tu kusema "We surrender "
   
 14. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Angalia msije mkapiga chini watumishi wooote Serikalini, maana hawa watu wengi ni watu wenye akili timamu, na ni vigumu sana kumpata mtu mwenye akili timamu akiisapoti CCM.
   
 15. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... kila la kheri watani zetu MAFISADI wa kubobea!!!
   
 16. B

  Baba Kimoko Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  walisemaga mtwara chadema no see? msiwe na hofu. chadema ndo sisi na sisi ndo chadema.

  2015 tunawajambisha.

  kimoko tu.
   
 17. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mafilili wasiwasi wako unaleta picha halisi ya kihoro kilichopo huko magamba!

  Hii M4C, Haina huruma!
   
 18. m

  mamajack JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nadhani mwaka huu so kanga kofia na tishirt na nauli za mikutani,inabidi mgawie wanchi bajaji na powatila,mwendo ni uleule,maana kujipanga kwenu huko duh,inahitaji mawe ya kutosha,na hivi rozitamu mmemvua mkidai ni gamba,loussa nae kakaa pembeni,serikali nayo haina pesa,sijui miundo mbinu ya vijisenti itakuwaje,maana mafisadi wengine ni wagumu kutoa balaa,wengine ndo ivo walishasusia chama,.
   
 19. m

  mamajack JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  akilini imemuingia ndo maana akabwatuka yakiyomo kichwani mwake.
   
 20. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,682
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Kumbe hamjala pweza siku nyingi ndo maana sasa hivi hamna nguvu tena? Haya bwana kuleni pweza wenu then mje kuibaka demokrasia ila hatuta kubali. Magamba noma, hadi mnamtegemea pweza? RIP.
   
Loading...