Nape atinga gwanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape atinga gwanda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Seif al Islam, Jun 1, 2012.

 1. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Nadhani sasa ni wazi kuwa nape nauye anaipenda cdm hata kama mwenyewe hajui au haamin.kwa waliomuona itv kwenye habari akikagua ujenzi wa hospitali huko singida kana kwamba yeye ni waziri wa afya wameona akiwa amevaa koti fulani la kaki na suruali ya kaki mithili ya gwanda za cdm.sielewi nkama ndio staili yake au ndio hivyo tena cdm imemkaa moyoni
   
Loading...