Wabongo tunaihitaji falsafa mpya ili tuweze to majibu ya uamsho-otherwise CCM watashinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabongo tunaihitaji falsafa mpya ili tuweze to majibu ya uamsho-otherwise CCM watashinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Jun 1, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu sikiliza kwa makini uchambuzi wa wengi, hasa wapinzani wanashindwa sema tuu wazi kuwa uamsho ni udini, na udini huu unataka toa muungano kwa maslahi ya dini.Na hasara ya huu udini ni chuki dhini ya ukristu.

  Wanasiasa na wasomi wenye mrengo wa upinzani kwa vile nao wapo ktk struggle wanatoa sababu za kuhalalisha upuuzi badala ya kukemea. Na chama tawala wanakimbia kutumia sababu hiyo kwa vile inaonyesha wao ndio waliharibu mambo.Na wakicheza hawa wasomi wenye copied excuses , CCM this time wanaweza kuwa mashujaa kwa hilo ,kwani kwa kulinda makosa watajikuta ktk ukweli.

  Wote hao wanashindwa usema ukweli kama ukweli, matokeo yake wanatumika km useful ******, sasa uamsho nao wanajitahidi kubadili njia na kuanza jitoa ktk hilo.Na hiili ni tatizo.

  Wasomi wakitoa explainations za kipuuzi kwa kutumia big theories , appeasement and being politically right, watakuwa wauaji wabaya sana.Sasa hivi FBI wanasema kweli kuhusu ugaidi unoletwa na dini.Kwa vile mara nyingi walitumia maneno kwa uangalifu ili wafike mbali,huku wanasiasa wao wakijaribu ongea maneno ya kipuuzi.

  Mbaya zaidi hawa wasomi wanajisahau na wanakuwa wajinga sana .Kwani wameshindwa kufahamu KUWA TERRORISTS HUWA WANAANZA HIVI WAKIWA NA AGENDA CHACHE ZA CHUKI NA LENGO LA KUONDOA MAADUI ZAO.Halafu baadaye wapuuzi wanakuja na theories zao ambazo zinamanipulate minds za jamii, hapo hapo terrorist wansikia plan mpya na baadaye kuanza shape politics zao na philosophy zao hadi kujikuta wapo juu. mfano: ktk hali ya kawaida kabisa watu wanajua harakati za baadhi ya waislam tanzania nzima, kila mkoa kuna kihadhara ya chuki, kejeli na propaganda nyingine, nao zanzibar km wengine wanaamini kuwa :

  -Nchi ipo chini ya mfumo Kristu na ndio unaowakandamiza, so kuenea kwa makanisa wanona km utumwa.

  -ukristu ni ukandamiza( kwa mtazamo potofu kuwa ukristu ni wa wakoloni wazungu+ ingawa hata waarabu nao walikuwa waovu ktk utumwa ila wamefichwa ktk carpet).wameenda mbali kudai kuwa makanisa yameongezeka km uyoga.Na hilo tayari linaweka makanisa ktk hatari.

  - ukristu hautakiwi hubiriwa adharani.Sababu ya msingi hakuna zaidi ya ku supress ushindani.

  -wabara ni wa kubanwa systematically kwa njia zote ili wasije sitawi visiwani.Na hili linatekelezwa na watu wote kuanzia kwa sheia hadi ktk smz.Mmasi kupata Id imekuwa shida kule.

  -Wanastahili ungwa mkono na kupewa kauli za kuwatetea zaidi ya kuwakemea na kuwaongoza ktk njia sahihi kupata majibu ya muungano.

  - shambulio dhidi Wakristu sehemu fulani na hata hapa Tanzania.Linahalalishwa kwa sababu km US kuwa Iraq, Israel kuikalia Palestina ,etc.

  Unafiki na ujinga wa wasomi, wanasiasa wetu, wapinzani, na hata waislam safi ambao wanaachia hisia ziwatawale kuliko fikra wanakuza huu uovu na mwishowe watashindwa tenganisah dini yao na haya.Ndio maana kweli tunayoikimbia na kupoteza muda kufanya maamuzi kunafanya sababu za uovu zibadilike, na hivyo kuzidi marginalize wakristu.Sababu km sijui ukristu umekuwa sijui kabla ya bara miaka sijui mingapi si za msingi, kwani Hata nchi za mshariki ya kati nyingi zilikuwa za Kikristu ila mwendo km huu uliwamaliza kabisa hadi wakafikia hapa.Zanzibay yenyewe kwa miaka mingi haijawa fair kwa Ukristu ndio maana Ukristu umezidi anguka ,wakati kwingine ulianuka zaidi. Nimebidi nicheke pale Lissu alipokuwa akijitahidi kuwa useful idiot ,ktk kipindi cha ITV ili awini kura za zenj na kuwafanya wasahau chuki yao juu yake ktk kauli za bungeni. katoa sababu za kisiasa akadai ...Ukristu umekuwa zenj kabla ya bara, halafu akaja na sabau ya Misri akataja kuwa coptics christians walikuwepo miaka zaidi ya 3000 Kabla ya Kristu....haha km vile Ubuddh aulikuwa kabla ya buddha...

  watu waache ujinga, wawaadhibu hawa wadini, na walipishwe makanisa yote na yajengwe vizuri kuzuia mioto. Na watanzania waelimishwe kutofautisha dini zao na masalhi ya kisiasa, na mambo sijui ya Muungano watu sahihi wahusishwe kujadili hilo.

  Lisu na upinzani wakijifanya useful idiot wakitaka pata ushawishi watapoteza kwani hao jamaa , ni wa aina ya wale wanaofuata siasi fulani wanachukua vitu vya kujijenga.Ni watu wasiochelewa jiambatanisha na Chama maarufu ktk haki za watu,ili wajipe jina wakati wakikidhalilisha chama maarufu.Mf. huu wa kutumia...mpaka kieleweke...wakati huu ccm wanapiga bao 2.Yaani waondio wameboronga ,wapuuzi wankimbilia leta siasa wakati ni suala la kidini na jinai.CCM wanakuwa salama kuusema ukweli na kuwaadhibu.
   
Loading...