Immigration na jeshi la police Bukoba wanawanyanyasa wahadhiri SAUT-BUKOBA CENTRE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Immigration na jeshi la police Bukoba wanawanyanyasa wahadhiri SAUT-BUKOBA CENTRE

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mngendalyasota, Jun 1, 2012.

 1. M

  Mngendalyasota Senior Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WanJF,
  Jambo linaloonekana kuwakera wahadhiri wasiowazawa wa BUKOBA ni kitendo cha kufuatiliwa maisha yao na wenyeji. Mtaani wananyanyapaliwa utadhani si Watanzania wenzao. Wamepandishiwa kodi za nyumba eti tu kwa kuwa wao siyo wenyeji wa huko na kuwaita 'WANYAMAHANGA.' Sasa hali iliyopo kwa sasa ni kwamba hata office ya immigration mkoa na jeshi la police wameshawishiwa na wenyeji wenzao nao wameanza kuwahujumu wahadhiri wale ambao sio wenyeji wa Kagera.
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Peleka malalamiko yako kwenye ofisi ya CCM iliyo karibu.
   
 3. o

  opportunist2012 Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii mijamaa ni milevi ya ubaguzi dunia nzima inajulikana kwa tabia yao mbovu...bukoba wakijua wewe si wa kwao wanakufanyia kila aina ya vibweka.watumishi wengi wamekimbia bukoba.
   
Loading...