Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Alikuwa anatikisa IRA leo kwa baba Mchungaji Msigwa!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi anakabiliwa na lundo la tuhuma ikiwa ni pamoja na kilichoitwa kujipa mamlaka ya kuendesha Shirika la Umeme la Taifa (Tanesco)...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Haya tarehe 6 June 1984 siku ya Jumatano majeshi ya serikali chini ya utawala wa Waziri mkuu Bibi Indira Gandhi yalivamia msikiti mtakatifu wa dhahabu wa masingasinga wa AMRITSAR. Kwa mjibu wa...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Maajabu na Prof Muhongo > shirika la Tanesco lilipa paundi 50000 kwa ajiri ya vipuri lakini wakapata Begi la Misumari... Pia kuna biashara inyo fanyika kwamba Nguzo Umeme za Iringa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naamini kabisa huyu jamaa anamuelekeo wa kuifikisha Tanzania pale inapotaka kwenda,utendaji wake na serikali uliopo hivi sasa inaonekana ulichelewa ,lakini kasi ya maendeleo ambayo inaonekana kila...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
kutokana na kusuka upya baraza la mawaziri na ujio wa mawaziri kama Prof Muhongo,Dr Mgimwa,Dr Mwakyembe na uwepo wa Dr Pombe Magufuli waziri toka awamu ya tatu,hakika sasa serikali ya jk...
1 Reactions
74 Replies
5K Views
Maadam SSRA wamesema wasitisha kwa miezi sita kushughulika na Mafao mpaka muongozo. nawaomba waajiri wote wasipeleke NSSF, PPF na kwingineko mpaka baada ya muongozo huo yaaani miezi sita. Haina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna huyu kiongozi anayeongoza ofisi moja ya umma mkoani ruvuma wilaya ya mbinga huyu c muadilifu kwa kutumia mali ya umma vibaya gari ya ofisi anaitumia kwenda nayo shamba kwa matumizi binafsi na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukitafakari mwenendo wa bunge letu na nini wajibu wao kwa umma utagundua bunge letu kwa kiasi kikubwa limesheheni kina Yuda Eskariot na si wawakilishi na watetezi wa watanzania.Tafakari mambo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF Hapa kuna habari za kuwafurahisha Medical Doctors waliokataliwa na Serikali ya CCM. Hudhurieni kozi ya Kiingereza safi makafanye kazi kwenye nchi yenye vifaa achaneni na huyu Dhaifu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Vituko vya CCM wilaya ya mjini Na Abdallah Vuai, Wiki hii kuna kituko cha aina yake kimetokea ndani ya Chama cha Mapinduzi upande wa Zanzibar kwa wanachama wachache wa Chama hicho Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
DEMOKRASIA KITANZINI Msomaji Raia |Toleo la 251 |25 Jul 2012 HALI ya demokrasia hapa nchini iko njiapanda. Pamoja na tambo za Rais Jakata Kikwete, chama chake na serikali yake kuwa Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HISTORIA ya mabunge duniani inaliumbua bunge la Jamhuri. Ni kwa sababu, bunge hili limegeuza taasisi ya Bunge kuwa sehemu ya kuminya demokrasia. Limejisahau. Limejifunga mnyororo.Ni tofauti na...
1 Reactions
0 Replies
915 Views
Na Mwinyi Sadallah 29th July 2012 Mwanasiasa Mkongwe Zanzibar Ali Ameir Mohamed, amesema wakati umefika kwa viongozi wa juu wa Chama Cha Mapinduzi kuwachukulia mapema hatua...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano imekuwa ngumu sana kusoma alama za nyakati kuhusiana na maswala mengi sana muhimu na mwishowe kujikuta ikijadili namna gani itaokoa wahanga wa maafa ambayo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
katika marais wote waliopita nchini ni kikwete ndiye anayeoneka kuendeleza demokrasia nchini, amevipa uhuru mkubwa vyombo vya habari uhuru mkubwa wa kukosoa serikali yake, maandamano yameruhusiwa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari nilizozipata toka Zanzibar kwa Ndg yangu aliyesafiri leo asubuhi toka Dar es salaam kwenda Zanzibar ni kwmb wakati wakiwa wanakatiza maeneo ya Chumbe kuingia Fumba waliona maiti mbili...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
nimemuona mtaatiro julius wa cuf kwenye habari akiviagiza vyama vya ccm na chadema kuwachunguza wabunge wao wanaodaiwa kula rushwa katika sakata la tanesco.cha kujiuliza hapa ni kuwa huyu bwana...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu zangu, kwa siku za karibuni inaonekana wazi baadhi ya watu na viongozi wa serikali wamekuwa wakigwaya kwenda kutibiwa Muhimbili. Kwa tetesi zilizopo licha ya baadhi ya askari na watu wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Zitto Kabwe alikuwa Upande Wa Mhando Tanesco na Kusema Maswi amekiuka Kanununi Za Manunuzi Kama Lowasa na hapa Maswi angeangushwa . Mbatia (Mteule wa Rais Kikwete)alilazimika Kuungana na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…