Kubali ukatae kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM. Kuna kundi kubwa linalompinga Samia ndani ya CCM. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mpinzani wa ndani hii ni kitu mbaya sana. Mtu anae kujua vizuri...
Wakuu!
Kwa mujibu wa kanuni za mchakato wa uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepiga marufuku matumizi ya simu za mkononi na vifaa vingine vya mawasiliano ndani ya vituo vya kupigia kura...
Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii...
Waziri Kombo akutana na Meya wa Mji wa Dallas
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo ya heshima na Meya...
Hii hoja imejadiliwa na Bunge la Ulaya kwamba EU inamwaga mabilioni ya Fedha za Misaada na mikopo na fuu Kwa Nchi za Kiafrica Ili kujenga mahusiano ya manufaa Kila upande lakini Afrika inaonekana...
Kwa miaka ya karibuni huyu bwana amepanda sana chati na kuwa mmoja wa mamastermind wa uendeshaji wa nchi hii. Ukiacha nasaba na kuwa mkwe wa mama lakini pia ni waziri mwandamizi anayefoka kwenye...
Huyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na...
Nashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi
Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika
Asipokubali atatoka kwa aibu
Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi...
Nayakumbuka sana haya maneno ya Shujaa Magufuli kwa sababu hata mimi nilipendelea JK aendelee na Uenyekiti
Kwahiyo kusema JK aliingilia mchakato wa January this year ni kumuonea bure tu...
Leo sita andika makala ndefu, lengu lango ni kujua maoni ya wadau; kati ya Kikwete na Majaliwa, nani anasema ukweli kuhusu sheria zetu za uchaguzi.
Itakumbukwa kuwa, Kikwete katika kongamano la...
Komredi Kinana aliyasema haya kwenye kikao cha Maridhiano kati ya CCM na Chadema mara baada ya Mbowe kufutiwa kesi ya ugaidi
Je, Komredi Polepole anazungumziaje chaguzi za 2019 na 2020
Lakini...
Mama Samia mimi ni kijana wako, nakupenda na nakuteteaga wewe na rafiki yangu Abdul. Lakini sijui ulifikiria nini kumpa nafasi nyeti mtu kama Amos Makalla, sijui ni nani alimpendekeza na sijui...
Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima...
Shetani hana rafiki
Wale machawa wote waliokuwa wakitangaza maredioni kumbe sio ithibati hazikai vizuri ila hawana vyeti vya form four.
Sasa waje mtaani waone mambo yalivyo.
JK avalia njuga mimba mashuleni
2008-07-21 08:39:53
Na Lulu George,PST, Muheza
Rais Jakaya Kikwete, amelitaka Jeshi la Polisi, kutumia vipimo vya kutambua vinasaba (DNA) ili kuwabana...
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Hali hii ndugu zangu haitapita hivi hivi, hata kama mgombea ambaye amepitishwa na JK atapita hapo Oktoba. Hali hii itaendelea kukitafuna chama chetu na kuleta...
CCM naomba kuwambia jambo moja makosa na udhaifu wa wanachama wenu mnayajua vizuri, na ni bora mkawawajibisha au kuwafukuza kabisa ili kulinda heshima ya chama chenu mapema, kabla wao hawajaamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.