Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumekuwepo na mjadala kwa muda mrefu dhidi ya muungano wetu Tanganyika na Zanzibar . Hivi karibuni ukiacha malalamiko ya upande wa Tanganyika kumekuwa na utulivu mkubwa. Sababu kuu ni kwa vile...
10 Reactions
104 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uchumi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Catherine Ruge (Msubhati) amesema ameamua kusimama na kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti Mkoani Mara, kwa lengo...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Hamjambo! Mimi sikuwa najua kuwa ili uwe Rais wa Tanzania itakupasa a) udhaminiwe na Chama chako. Kwa hapa ili ugombee mwaka 2025 utadhaminiwa na CCM au chama chako b) Adhaminiwe na idadi...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Liwake jua au inyeshe mvua, Dunia isimame au Dunia izunguke katika mhimili wake. Kamwe na katu maamuzi ya CCM ya kumpitisha na kumuidhinisha Daktari Mama Samia Suluhu...
0 Reactions
78 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa. Ameyasema hayo leo...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu, Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba...
2 Reactions
61 Replies
3K Views
Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!! Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
16 Reactions
55 Replies
3K Views
Natoa tu angalizo kwa mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lisu asiwaamini wapambe wanaotaka kupata Ubunge kupitia Nyota yake Naona Chadema wana mipango ya kurudi uchaguzini ndio nikamkumbuka...
-1 Reactions
31 Replies
1K Views
Chini ya Rais Samia Upatikanaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi Mkoani Arusha wafikia asilimia 93. Rekodi za Kitaifa zinaonesha kuwa Tanzania imeongeza MRI kutoka 7 hadi 13, CT scan kutoka 13...
0 Reactions
4 Replies
361 Views
Hawa Bananga, Mbunge Mstaafu wa Viti Maalum akifunguka kupitia One on One Mbunge yeyote anayetafuta nafasi kwa sababu ya fedha mtegemee miaka mitano kutokuhoji wa kuuliza chochote kwake kwa...
0 Reactions
1 Replies
229 Views
Watu wazima wote wenye vichwa vizuri vya kufuatilia masuala muhimu ya nchi yao(ukiondoa genZ) watakumbuka tuliwahi kuwa na mchakato wa kupata katiba mpya. Mpaka tukawa na bunge maalumu la katiba...
2 Reactions
29 Replies
830 Views
Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza anasema "wapo wanaowaua wenzao kwa kisingizio cha kulitetea taifa, ndugu hao watakufa na taifa litabaki alafu litawasahau" :
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Mbunge wa Viti Maalum 2015 - 2025 kupitia CHADEMA Hawa Bananga , ambaye kwa sasa amejiunga na CCM na ni miongoni mwa wanachama waliojitosa katika mbio za ubunge Jimbo la Tabora Mjini.
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Wanaopiga kelele sasa hivi kwasababu kuna nyomi, wajue kuwa sisi tulianza mbali sana na CHADEMA. Yaani tunaenda kujisaidia kichakani wakati tunazunguka kutafuta kura..” - Mbunge wa zamani wa Viti...
1 Reactions
0 Replies
366 Views
Vijana wa CCM jueni rushwa, miondombinu mibovu na umasikini sio kwa upinzani tu! Ni wote Wengi ambao tunawapigania tuna maisha mazuri ambayo wengi wetu hamtakaa kupata hasa mkiendelea kuunda...
0 Reactions
2 Replies
254 Views
Picha limeanzia kwenye kampeni jamaa kaukataa umakamu anataka uwenyekiti. Agenda kuu ya kuwin kwa Lisu ni kusema tundu Hana matundu (risasi) Na kwa freeman ni kuaminisha umma hayuko free...
2 Reactions
2 Replies
345 Views
Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana, Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma kwenye historia. Kiongozi shupavu...
3 Reactions
11 Replies
597 Views
MAASKOFU KUSHAURI WANANCHI WAPIGE KURA YA HAPANA WAPO SAHIHI KABISA Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) walitoa taarifa kwa wakristu wote na wananchi...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Tangu 2021 mbona sijasikia kero za muungano au zimetatuliwa zote? Pengine jitihada za pamoja kati ya pande zote mbili zimezaa matunda na kuleta mwafaka wa muda mrefu? Kama zimetatuliwa zote...
0 Reactions
7 Replies
432 Views
BAADA ya Mahakama ya Juu ya Kenya kufuta matokeo ya uchaguzi uliofanyika Agosti 8 nchini humo, upinzani Tanzania umeonekana kuumia kwa sababu Rais Uhuru Kenyatta waliyempigia debe atalazimika...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom