Baadhi ya Wananchi wa Tanzania Wamependekeza kampeni ya Mungu inayofahamika kama No Reforms No Election, ianze mara moja kutumika kama salamu kwa Raia wote Nchini humo.
Imeelezwa kwamba...
Tetesi zinaeleza:- Jinsi kunguni zilivyotumwa, zikisaidiana na wanafiki ndani ya CCM, ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu, anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage...
Na ndio maana mkutano mkuu maalumu wa CCM pale makao makuu Dodoma mapema mwaka huu2025, uliamua, ukaridhia na kuidhinisha mabadiliko ya katiba ya CCM bila tatizo lolote na vile vile mkutano mkuu...
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Katavi kimewatoa wasiwasi wananchi wa Kata ya Kakese, Manispaa ya Mpanda, kuhusu usalama wa kura zao kwenye uchaguzi mkuu ujao, kikiahidi kuwa na...
Samia alitumia kila aina ya ufedhuli kuibomoa Chadema.
Amewaweka lockdown viongozi wa Chadema hakuna kwenda nje, amewanyima ruzuku, ameanzisha migogoro uchawara na kubwa zaidi amempa Lissu Bogous...
Sidhani kama uamuzi wa Jaji wa kuifungia Chadema kufanya Siasa ulizingatia maslahi mapana ya taifa na yale ya chama dola pia katika ujumla wake
Kwa mara ya kwanza Uchaguzi wa ndani wa CCM...
Wayahudi walitaka anwani ya Msalabani isomeer “ Yesu mnazareti aliyejifanya kuwa Mfalme wa Wayahudi “
Pontio Pilato aliandika “ Yesu Mnazareti Mfalme wa Wayahudi “
Baada ya mzozo mkubwa sana...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Innocent Bashungwa amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wanachama...
Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Ngaramtoni mkoani Arusha, ameendesha maombi maalum Julai 23, 2025 kwa ajili ya viongozi wa CHADEMA...
Rais Samia katika kuimarisha dipolomasia ya Uchumi amekuza thamani ya uwekezaji na kufikia $12.44bn sawa na TZS33Trilioni na ajira 188,000 kwa miradi 707 iliyoko katika hatua mbalimbali za...
Kwa mujibu wa Andiko la Boni Yai (EX-MAYOR Ameandika hivo kupitia andiko hili
anaandika Boni Yai
BALILE NI MWANDISHI AU DOLA..?
MASWALI KUMI (12) KWA BALILE.
1.Balile anawezaje kugeuka kuwa...
Nipo hapa kupata Elimu ya Mpiga Kura
Kuna athari gani kwa mfano Jimbo lenye Wapiga Kura 100,000 wanajitokeza 20,000 tu kupiga Kura na mshindi anapata Kura 12,000 tu?
Ahsanteni in advance 🙏
Mbeto : INEC , ZEC Tume huru za Uchaguzi zenye uwazi na haki
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeutaka Upinzani kutozibeza Tume za Uchaguzi , INEC na ZEC na kudai si...
Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa Urais ulikiuka kila kitu, kuanzia katiba ya CCM na ya nchi, sheria za uchaguzi, mpaka mazoea ya CCM.
UFafanuzi:
1. Magufuli na Samia walizunguka nchi nzima...
Ukweli ni kwamba huyu hana tofauti na yule kabisa kuhusu demokrasia;ameruhusu watu waongee na kujadili na hata kukosoa;ingawa hata ukosoaji yeye anautafsiri kama ni matusi na wale wanaokosoa...
Napenda kutoa Pongezi kubwa kwa viongozi wetu wa chama na serikali kwa kufanya kazi kwa hekima na busara huku mkitanguliza uzalendo kwa Taifa letu mbele.
Narudia tena, ninaiona busara na hekima...
Je Dr. Slaa kugombea urais TZ mwakani?
Kuna kila dalili kwamba CHADEMA wanamuandaa Dr. Slaa kugombea urais 2010. Mpambano huo utakuwa mzuri sana, huenda tukamkosa sana Dr. Slaa kwenye bunge la...
Akizungumza katika mahojiano na Jenerali Ulimwengu Julai 22, alitekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba amesema kwa sasa yuko mkoani Morogoro na anatarajia kuja Dar es Salaam.
Pia ameendelea...
Wananchi wa Tanzania, katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, ni wakati muafaka wa kuangazia masuala ya msingi yanayohusu haki, usawa, na maendeleo ya taifa letu. Moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.