Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,687
- 10,111
Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima atakuzingua tu kama unaendekeza ubepari.
Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya kwenda Vacation Cuba.
Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya kwenda Vacation Cuba.