Hatuwezi kushiriki uchaguzi ni kama samia ameweka mpira kwapani alafu anatuambia tucheze hewa mwisho anasema yeye ndio mshindi.
katika mazingira kama haya hatuwezi kukubali maigizo weka mpira...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mara imewakamata wanachama saba wa Chama cha Mapinduzi kwa tuhuma za kugawa fedha nje ya ukumbi wa uchaguzi Musoma vijijini, huku baadhi...
Wakili Peter Madeleka akihojiwa na Jambo TV amesema, "Wakati namuunga mkono ili Tundu Lissu achaguliwe na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama, hakuna mahala popote...
Ni dhahiri ndani ya CHADEMA kuna watu wamechukizwa na uamuzi wa chama wa NO REFORMS, NO ELECTION. Hao ni watu wanaotaka ubunge kwa udi na uvumba. Wanaona kuwa wanayo nafasi ya kushinda uchaguzi...
Unaona mantiki imekosewa hapo. This is the smoking gun.
"Wajumbe, jina moja likiletwa, jina moja ni jina ambalo halipungui matatu, kwa hiyo tunakwenda sawa na Katiba yetu."
Majina matatu...
Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam.
Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA.
Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili...
Robert Mugabe alilazimishwa kujiuzulu dakika za jioniii na chama kikashika hatamu nchi ikapata Rais mwingine.
Hoja ilikuwa kuvunja katiba ya nchi na ZANU-PF, mila na desturi za makomredi.
CCM...
Huu ndio ukweli kuwa Lissu ameikomaza CHADEMA
Kila kona wanapigiwa chapuo kuwa sasa wapo kwa maslahi ya mtanganyika
Wanaumgwa mkono tena kwa kila msimamo wao. Kumbe wapo sahihi hata kususia uchaguzi
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika ninamshukuru Sana Mwenyezi Mungu kwa Kupata Bahati ya kipekee na adimu ya kuongozwa na Rais Samia Akiwa ni Rais Wa Nchi ,Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi...
Polepole anabaki kujaribu kumuiga Nyerere muonekano na sauti lakini ukweli ni kwamba hoja zake za utaratibu wa ndani ya chama hazina manufaa yeyote kwa taifa.
Polepole haongelei katiba mpya...
Tulioshangaa 2020 CCM kuprint nakala moja ya Urais kwa Urais tumepigwa kitu kizito na Chama kutokutoa Fomu Hata Ile moja ya ngama.
Kila mtu atachanganyikiwa wakati ukifika. Bado kuzima internet
Mwandishi wa Habari na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Harubu Kabwe amesema; "Nitamlinda Rais wangu Samia Suluhu Hassan kwa gharama yoyote ile, Rais ni Lulu kwa Taifa letu la Tanzania"
Leo ikiwa ni miaka mitano tangu kufariki kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, alisisitiza kuwa ni kosa kwa kiongozi kudharau mchango wa serikali iliyopita na kuwataka viongozi kuheshimu...
Tarehe 17 Februari 2021, mauti yalimkuta katibu mkuu kiongozi Mhandisi John Kijazi. Kijazi amekufa waziri wa fedha kipindi hicho, Dr Philip Mpango akiwa mahututi hospitali ya Benjamin Mkapa...
Mkiona sera za CCM zinadumu mjue viongozi wetu wanafanya kazi kubwa sana
Kenya wanaiga sana lakini wanachemka
Sasa wanaiga maghorofa ya Shujaa Magufuli ya pale Magomeni
Ahsanteni sana 🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.