Kweli shetani hana rafiki

Kweli shetani hana rafiki

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,465
Reaction score
7,763
Shetani hana rafiki

Wale machawa wote waliokuwa wakitangaza maredioni kumbe sio ithibati hazikai vizuri ila hawana vyeti vya form four.

Sasa waje mtaani waone mambo yalivyo.
 
Shetani hana rafiki .

Wale machawa wote waliokuwa wakitangaza maredioni kumbe sio ithibati hazikai vizuri Ila hawana Vyeti Vya form four .

Sasa waje mtaani waone mambo yalivyo .
Vyeti na utendaji halisi ni tofauti kabisa, ila taaluma juu ya jambo unalolifanyia kazi sio ya kupuuza.
 
Hiyo Ithibati ni sawa na hisabati? Maana naona imepukutisha watangazaji darasani
 
Back
Top Bottom