na Lucy Ngowi
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP), umeelezwa kushtushwa na kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mkuu wa Wilaya (DC) ya Handeni, mkoani Tanga, Muhingo Rweyemamu, kuhusu...
Jana wahadhiri Chuo Kikuu cha Dodoma walifanya mkutano mkuu wa mwaka (General Assembly), pamoja na mambo kadhaa wameazima kuanza mgomo kuanzia kesho alhamisi saa 2 asubuhi.
Tukio hili kwanza...
Ukweli ni kuwa sikupata muda wa kusikiliza vikao vilivyoendelea bungeni hivi karibuni.Hasa kuhusiana na uundwaji wa sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii wastaafu wake kuchukua malipo yao...
Gazeti la RAI limeshambulia vikali chama cha CDM kwa kile lilichodai kufuja pesa ovyo kwa operesheni M4C huku chama hicho kikishindwa vibaya kwenye uchaguzi wa madiwani.
Gazeti hilo limedai...
tanzania tuna vijana wengi sana ila hapa nataka kuzungumzia vijana hawa watano watafanikiwa na watafika mbali ktk siasa za nchi yetu.vijana hawa ni. 1.JOHN MNYIKA 2.ZITTO KABWE 3.DEVDI KAFULILA 4...
Imenikumbusha kauli ya waziri mkuu wa zamani Fredrick Sumaye akiwaambia wafanyabiashara kuwa wakitaka mambo yao yawanyokee wajiunge na chama (hospitali) yake. Mambo ni hivyo hivyo karibu kila...
Ndugu wanajamvi nilifikiri watu hawa wapo tu wizarani kumbe hata Bungeni wamo,Mh Kigwangala ameniacha hoi pale aliposhindwa hesabu za darasa la pili,hebu tazameni alichoweka kwenye wall yake ya...
Leo kwenye kikao cha 'briefing' cha wabunge, mbunge wa nzega Mh Dkt. Hamis Kigwangalla amejikuta ktk wakati mgumu alipoamua kuweka wazi msimamo wake kuwa hakubaliani na mpango wa spika wa bunge Mh...
Kuanzia leo hadi uchaguzi mkuu wa 2015 imebakia miezi 36 kamili. Miezi hii ndio itaamua jinsi gani CDM kama chama cha siasa kitaweza kujipanga kuweza kujiandaa kimfumo, kiitikadi, kisera na...
WAKATI Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akitambia ushindi mkubwa walioupata katika kata 22 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Jumapili, CHADEMA...
Nimekuwa nikifwatilia mara kwa mara pale ninapopata taarifa kuwa maliasili zetu zimekamatwa huko ng'ambo, lakin nikagindua kuwa. Sisi kama watanzania hatupaswi tu kusikitikia uvushwaji wa...
..naona Prof wa ukweli wa uchumi Nguyuru Ibrahim Lipumba kaamua kwamba CUF itamuwekea dhamana Sheikh Ponda.
..sasa ili CUF wasionekane kwamba wameegemea upande wa Waislamu, mimi napendekeza...
MONDAY, OCTOBER 29, 2012
MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI YAANIKWA HUKU YAKISINDIKIZWA NA MIRIO YA RISASI
KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATA YA DARAJA MBILI MKOANI ARUSHA,CHAMA CHA...
Nipo hapa uwanja wa mpira wa Sheih amri Abeid,ndio msafara wa Rais unaingia,akifuatana na viongozi waandamizi wa Serikali.Uwanja watu sio wengi sana,
Baada ya viongozi wa serikali kuingia...
Hivi chadema bado na hii sera ya ukanda ...mana ndo ilikuwa hoja ya kampeni ubunge arumeru kuwa ukanda wa arusha,kilimanjaro ,manyara ujitawale uwe na serikali yake..... Sasa naona kimya nini...
Jamani mimi sidhani kuwa njia pekee ya chadema kuelekea ikulu 2015 ni lazima wafunge ndoa na cuf. Hapa jambo la msingi ni kila chama kinadi sera zake mbele ya wananchi. Watanzania wa leo...
yani huyu mtu alifanya mambo sitaki hata kumsikia ukitaka kupata ouvu wake soma kitabu cha padr sivalon na cha ris mstafu wa zenj the partinership jamaa alikuwa mdini sana
Tafsiri ya siasa ya kale na yaleo bado inarandana, hasa ikitazamwa kama ni shughuli za kujitolea zenye sura ya harakati za ukombozi,
Takribani miongo mitano sasa, siasa za Tanzania zimejihuisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.