Nchi yetu ya Tanzania imekuwa kama nchi ya laana, damu inamwagika Kila sehemu.
Polepole alifanya mistake kubwa kurudi bongo na kujitangaza Kwa majigambo kuwa Yuko bongo. Tanzania ina intelligence...
Nadhani sote ni mashahidi jinsi ambavyo viongozi vijana wa CCM walivyo brilliant na excellent katika kujieleza, kujenga na kutetea hoja mbalimbali za kisiasa, kijamii na kiuchumi, ukilinganisha na...
CCM walianza na ngonjera ya Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania. Baada ya kuimba ngonjera hii kwa muda wa miaka 5 na kukosa muitikiaji, wakaamua kubalili mapigo na kuibuka na ngonjera mpya waliyoipa...
Kwa mapana yake
Tulipotoka
Tulipo na tuendako
Tupopatia tulipokosea na tulipoumizwa
Tulipopotea, tulipokengeuka, tuliporubuniwa na tulipojisahau
Tuwajadili pia wazalendo waliojaribu kuipigiania...
Habarini waungwana,
Ni matumaini kwamba watu watakua kwenye maandalizi ya sikukuu ya Pasaka.
Tafadhali napenda kuwajulisha kwamba kampuni niliyoitaja hapo juu inajihusisha na upokeaji na...
Nataka kuelewa kuhusu haya maridhiano ya Kitaifa yanayozungumzwa sana.
Maaridhiano haya ni baina ya nani na nani? Kama ni ya Kitaifa swali langu "Kwani kuna mgogoro au kutoelewana baina ya nani...
Baadhi ya watu wamedai kujaziwa mafuta kwenye magari yao ambayo yana maji kwenye kituo cha mafuta cha Total energies Shinyanga na walipomfuata meneja wa kituo hakuwapa majibu mazuri,
Hata hivyo...
Kukamatwa kwa Nabii Tito ni Ishara tosha kwamba Polisi wanatumilka Kisiasa.
Mwaka 2018 Polisi walimkamata Dodoma, Halafu wakampeleka Mirembe, kisha wakamuachia eti ana matatizo ya akili. Kipindi...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akisisitiza kuwa uongozi wa nchi...
Kamwe haiwezekani tuishi au kufanya mambo yetu kienyeji au kama wanyama wa porini.
Kama tuliamua kufuata taratibu nzuri za kimagharibi tuzifuate kikamilifu na zile mbaya tuziache kikamilifu.
Zipo...
Meya wa Manispaa ya Mjini, Mohamed Ibrahim amesema Serikali kupitia mamlaka zake imeanza kufanya uchunguzi wa kina kufuatia kugundulika kwa bomba lenye mafuta yaliyochanganyika na maji katika eneo...
Pride Tanzania inamilikiwa na serikali 100%
ilisajiriwa mwaka1993 Mei 5
Hesabu za pride hazijawahi kuwasilishwa kwa CAG kama inavyotakiwa kisheria
kutowasilishwa mahesabu kunazua maswali mazito...
wakati rais wa communist ghana akizurura dunia nzima kudai fidia kwa utumwa uliofanyika miaka 400 iliyopita, nchini kwake ghana watu wake wanataka kuuwana sababu ya kuku wa kfc, watu wake...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malaysia, Meja Jenerali Mbaraka Mkeremy...
Katika kupita pita huko kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na clip ya chawa mmoja wa CCM akiwakebehi walimu wa vyuo vikuu nchini.
Inasadikiwa walikutana walimu wa vyuo vikuu mia moja ili...
DAR ES SALAAM: Jamhuri imemfungulia mashtaka matano ya dharau kwa mahakama (Contempt of Court) Wakili Peter Michael Madeleka (46) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Mashtaka hayo...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kubaini kasoro na changamoto mbalimbali za kisheria zilizojitokeza wakati wa kukamatwa, kufikishwa mahakamani na kuwekwa mahabusu...
1.Kesi ya Uhaini ya 1970 (Tanganyika)
Walioshtakiwa walituhumiwa kupanga njama za kuipindua serikali ya awamu ya kwanza iliyokuwa inaongozwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili kumrejesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.