Twende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi maana muda mchache mambo ni mengi
Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego ambao mmewekea siku ya uzinduzi wa bwawa la...
Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita.
Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake...
Sudan Kusini Yamkaribisha Mwakilishi Mkuu wa AU Jakaya Kikwete kusaidia kuweka mambo sawa Kabla ya Uchaguzi wa Kihistoria wa 2026
June 2026
Juba South Sudan
Rais wa zamani wa Tanzania na mjumbe...
Nyaraka rasmi kutoka Wizara ya Fedha ya Iraqi zinaonyesha kuwa Iraq iliidhinisha mikopo ya jumla ya dola milioni 191 kwa Tanzania. Takwimu hii ilithibitishwa Aprili 2026 na Mfuko wa Maendeleo ya...
Mkiti msaafu wa Chadema Freem mbowe wamekutana na mkuu wa wilaya ya Hai Mstaafu Lengai Ole Sabaya katika msiba wa Mama yake mbunge wa Hai Saasisha Mafuwe.
Katika Msiba Huo,mbowe amesema yeye...
Watanzania wanolipa income tax ni kama million 2 hivi kati ya watu million karibia 70
Kuna post mtu alisema watanzania wanaolipa kodi ni million 2 cha ajabu watu wakamshambulia sana kwamba...
Wakuu !
Ukisoma hili hitimisho la Mh. Tundu Lissu unapata hisia na uchungu mwingi sana hasa ukizingatia namna vile Jamhuri ilivyokuwa inamfanyia.
Siku 136 bila rufaa kusikilizwa na wakawa...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Munisi, amesema kukamilika kwa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) ni fursa kubwa ya kiuchumi...
Hii ingeonyesha heshima kwa sheria zetu na utawa bora unaogeshimu sheria
Katuga hakufikiri vizuri kuweka pingamizi la mashahidi wa Lissu upande wa serikali kwani hofu yake ni nini.
Kwani...
Ayoub rioba afrika imeshakua na madikteta wengi sana ila cha ajabu wameshindwa kuondoa umaskini na kutengeneza taasisi imara kwenye nchi zao
Sasa unavyosema chanzo cha matatizo ya afrika ni...
Hoja ya Steven Wasira kuwa kesi za jinai hazipaswi kuisha kwa busara na maridhiano ni ya kuungwa mkono na kila anayeamini katika utawala wa sheria. Kama DPP amefungua kesi kwa maslahi ya umma ili...
Niweke wazi kuna kitu sikielewi, kwanza sikuwa nakubaliana na style ya uongozi wa Magufuli lakini ukweli utabaki hakuna mwenye uwezo wa kuzizima athari chanya za Magufuli.
Nimesoma mitandaoni...
Misingi ya Katiba yenye mgawanyo madhubuti wa madaraka
1. Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wasiteuliwe moja kwa moja na Rais. Wawe na utaratibu wa wazi wa kikatiba/kisheria wa uteuzi au uchaguzi...
Rais Hakainde Hichilema alitangazwa mshindi kwa asilimia sitini, lakini ushindi huo ulizua mara moja mgogoro mkubwa wa kikatiba nchini Zambia.
Tume ya uchaguzi ilisitisha ujumlishaji wa kura kwa...
Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu?
Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI.
Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia...
Katiba isichanganywe na kinga ya kutoshitakiwa: Urais si ruhusa ya kuficha ukweli mbele ya Mahakama
Kumekuwa na mjadala muhimu wa kikatiba na kisheria nchini Tanzania: Je, Rais wa Jamhuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.