Msaada wa kujua ofisi za Speedaf Express zilipo

MwajabuOmary

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,059
Reaction score
2,982
Habarini waungwana,
Ni matumaini kwamba watu watakua kwenye maandalizi ya sikukuu ya Pasaka.

Tafadhali napenda kuwajulisha kwamba kampuni niliyoitaja hapo juu inajihusisha na upokeaji na usambazaji wa mizigo inayotoka nje na hasa bidhaa zinazo nunuliwa kwa njia ya mitandaoni.

Ni kwamba niliagiza bidhaa kutoka China tangu mwezi wa kwanza na bahati nzuri Aliexpress ukilipipia mzigo wako wanakutumia tracking number ya kufuatilia mzigo wako hatua kwa hatua.

Ilichukua si zaidi ya siku 16 mizigo yangu ilifika Dar es salaam. Cha ajabu ni kwamba mpaka kufikia leo zaidi ya siku 30 tangu mizigo ifike Dar sijaipata.

Niliwapata kwa njia ya simu waliniuliza swali la kitoto sana eti wewe umejuaje kama mizigo imefika.

Nikawapigia tena wakaniambia niwatumie tracking number kwa njia ya whatsup nikatuma bila majibu, nilipowapigia tena wakasema hawana whatsup nitume kwa message za kawaida. Nimewatumia kwa njia wliyoitaka wao lkn mpaka leo majibu hakuna.

Miongoni mwa kanuni zao ni kwamba mzigo wa mteja ukifika watakutumia msg kwa ajili ya kupokea lkn hawafanyi hivyo

Nimewatumia msg kwa email yao lkn mpaka leo hakuna majibu.

Naomba mwenye location ya ofisi yao ilipo anipe maelekezo

Naomba kuwasilisha
 
Kichwa cha habari Speedaf Express mada AliExpress tushike lipi,
yaani kwanza kampuni inajiita Speed as *** ndo kirefu cha af huoni hao ni wahuni
 
Mkuu Acha ujuaji wewe,jambo usilolijua ni hekima na busara kukaa kimya,wewe Kila kitu umeaandaa akiri yako kupinga.

AliExpress hutumia Speedaf kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania.

Na Mimi naitumia Kila mara niagizapo mizigo Toka china to Tanzania,hivyo kwa mtoa madam kabla sijatoa neno waweza naitumia tracking namba ya huo mzigo wako inbox ili nijue namna ya kukusaidia

Nb kama hutojari
 
Sasa hizo nguvu ulizotumia kuniattack si ungemsaidia mwenye shida

Wahunii
 
Changamoto hapa ni ofisi za speedaf express hapa Dar es salaam na sio Aliexpress
Nimejatibu Google map wanaonekana wapo mitaa karibu na china plaza
 
Attachments

  • Screenshot_20260405-075234.png
    Screenshot_20260405-075234.png
    1 MB · Views: 30
Mkuu Acha ujuaji wewe,jambo usilolijua ni hekima na busara kukaa kimya,wewe Kila kitu umeaandaa akiri yako kupinga.

AliExpress hutumia Speedaf kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania.

Na Mimi naitumia Kila mara niagizapo mizigo Toka china to Tanzania,hivyo kwa mtoa madam kabla sijatoa neno waweza naitumia tracking namba ya huo mzigo wako inbox ili nijue namna ya kukusaidia

Nb kama hutojari
Kwa nini akutumie? Kwa nini usimwelekeza zilipo ofisi anazoulizia?
 
Vipi chief, umefanikiwa kupokea mzigo wako?

Courier aliye scan mzigo wangu hapokei simu, na hawajui wana deal na nani, kitendo nitawafanyia watafunga ofisi!
 
Habarini waungwana,
Ni matumaini kwamba watu watakua kwenye maandalizi ya sikukuu ya Pasaka.

Tafadhali napenda kuwajulisha kwamba kampuni niliyoitaja hapo juu inajihusisha na upokeaji na usambazaji wa mizigo inayotoka nje na hasa bidhaa zinazo nunuliwa kwa njia ya mitandaoni.

Ni kwamba niliagiza bidhaa kutoka China tangu mwezi wa kwanza na bahati nzuri Aliexpress ukilipipia mzigo wako wanakutumia tracking number ya kufuatilia mzigo wako hatua kwa hatua.

Ilichukua si zaidi ya siku 16 mizigo yangu ilifika Dar es salaam. Cha ajabu ni kwamba mpaka kufikia leo zaidi ya siku 30 tangu mizigo ifike Dar sijaipata.

Niliwapata kwa njia ya simu waliniuliza swali la kitoto sana eti wewe umejuaje kama mizigo imefika.

Nikawapigia tena wakaniambia niwatumie tracking number kwa njia ya whatsup nikatuma bila majibu, nilipowapigia tena wakasema hawana whatsup nitume kwa message za kawaida. Nimewatumia kwa njia wliyoitaka wao lkn mpaka leo majibu hakuna.

Miongoni mwa kanuni zao ni kwamba mzigo wa mteja ukifika watakutumia msg kwa ajili ya kupokea lkn hawafanyi hivyo

Nimewatumia msg kwa email yao lkn mpaka leo hakuna majibu.

Naomba mwenye location ya ofisi yao ilipo anipe maelekezo

Naomba kuwasilisha
NimekuDM
 
kwema mimi pia nina hii changamoto, nimeagiza vitu vingi wameleta kwa wakati ispokua electronics 2 za bei kubwa simu wanakata message hawajibu sijui nawapataje ukifanikiwa nijuze
 
Habarini waungwana,
Ni matumaini kwamba watu watakua kwenye maandalizi ya sikukuu ya Pasaka.

Tafadhali napenda kuwajulisha kwamba kampuni niliyoitaja hapo juu inajihusisha na upokeaji na usambazaji wa mizigo inayotoka nje na hasa bidhaa zinazo nunuliwa kwa njia ya mitandaoni.

Ni kwamba niliagiza bidhaa kutoka China tangu mwezi wa kwanza na bahati nzuri Aliexpress ukilipipia mzigo wako wanakutumia tracking number ya kufuatilia mzigo wako hatua kwa hatua.

Ilichukua si zaidi ya siku 16 mizigo yangu ilifika Dar es salaam. Cha ajabu ni kwamba mpaka kufikia leo zaidi ya siku 30 tangu mizigo ifike Dar sijaipata.

Niliwapata kwa njia ya simu waliniuliza swali la kitoto sana eti wewe umejuaje kama mizigo imefika.

Nikawapigia tena wakaniambia niwatumie tracking number kwa njia ya whatsup nikatuma bila majibu, nilipowapigia tena wakasema hawana whatsup nitume kwa message za kawaida. Nimewatumia kwa njia wliyoitaka wao lkn mpaka leo majibu hakuna.

Miongoni mwa kanuni zao ni kwamba mzigo wa mteja ukifika watakutumia msg kwa ajili ya kupokea lkn hawafanyi hivyo

Nimewatumia msg kwa email yao lkn mpaka leo hakuna majibu.

Naomba mwenye location ya ofisi yao ilipo anipe maelekezo

Naomba kuwasilisha
ukiwa unatokea mataa ya morocco kuelekea shoppers plaza mikocheni kupitia kingjada hotel then yard za kuuza magari kushoto mbele utaona kuna mawella liquor store kabla ya hii store utaingia kushoto ambapo kwa pembeni ya hiyo liquor store kuna barabara ya lami inashuka chini kelekea mtaa wa migombani kwenye hiyo barabara kwa mbele kulia kuna hiyo ofisi ina geti sikumbuki ni jeusi/jekundu but ipo opposite na fremu hivi za biashara. Hao jamaa hawana customercare kabisa na huwa wanaongea na mteja kwa lugha isiyo friendly. Ramani hiyo hapo chini fuata mstari mwekundu kumbuka unatokea mataa ya Morocco
speedaf.png
 
Back
Top Bottom