Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani
Wakili wa Serikali Mkuu, Nasoro Katuga, amesimama: Upande wa Jamhuri unajua ni haki ya mshitakiwa kujitetea na yeye kueleza...
Hakika watu wa kale walipata kunena kwamba "Mti mrefu haukosi upepo" - ikiwa na maana kwamba, mtu anayefanya vizuri hukutana na maneno mengi ya ukinzani na nongwa.
Mfano huo naweza kuutumia kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Sitaki kuwa na Maneno mengi sana
Embu Soma hapa 👉
Waziri wa zamani wa Uchukuzi wa Zambia na aliyewahi kuwa Mbunge wa Lunte, Mutotwe Kafwaya amefariki dunia baada ya...
20 August 2026
Asmara, Eritrea
ERi-TV, Eritrea - Open Mic - Interview with Prof Mohamed Yakub Janabi - WHO Regional Director for Africa ERi-TV August 6, 2026...
Maandamano hayo yaitishwe nchin nzima ambapo Watanzania wote ambao wanaunga mkono msimamo wa Lissu kupinga rasilimalinza taifa hili kunyonywa washiriki.
Mabango yaliyoandikwa No reform no...
Stendi ni mradi wa kunufaisha Serikali na kuibia wasafiri Kwa tozo plus kuongezea gharama za usafiri Wananchi.
Wewe maskini kushadidiq stendi ambayo Haina faida kwako ni ujinga wa Hali ya Juu...
"Wanachadema kafanyeni kazi, huu uamuzi umesikitisha lakini ni wa muhimu na wa kihistoria ambao huko mbeleni watu wengine wataangalia na kusoma majina yao, watajiuliza itakuwaje." Mhe. @HecheJohn...
Hawa ccm wanatakiwa kupewa somo for once and for all. Watanzania wengi tupo tayari ku-sacrifice maisha yetu kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo. Huu upuuzi unatakiwa ukomeshwe for once and for all...
Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika...
Ndugu zangu Watanzania,
Popote Ulipo Rais Samia anakufikia ,Rais Samia anamhali Mtanzania mmoja mmoja bila kumbagua yeyote yule. Kwake Rais Samia Mtanzania ndio kipaombele chake. Ni katika Msingi...
Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, ni wakili mkuu wa serikali kwenye kesi ya Lissu.
Wakili huyu amekuwa akionyesha dharau, kiburi na maneno ya majivuno Kwa Tundu Lissu. Nilimtahadharisha kuwa awe...
..jamani huyu askari wetu naambiwa alifariki na kuzikwa Msumbiji.
..mchango wake ktk vita vya ukombozi Msumbiji ni vizuri ukawekwa wazi.
..naambiwa marehemu Field Marshal Samora Machel, Raisi wa...
Baada ya Mahakama kutoa uamuzi kwamba mshtakiwa Tundu Lissu ana Kesi ya kujibu, Lissu amesema kwamba atakuwa na mashahidi 11 ikiwemo yeye mwenyewe kujitetea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hawaogopi chochote na kwamba wataenda nao wanavyotaka, "sisi tunawaambia, tutaenda nao wanavyotaka"
Aidha, Heche amesema tangu wamechaguliwa...
Kikwete , Magufuli na Samia wamepunguza maendeleo sana ya jamii Tanzania.
Katiba Mapya
Ubinafsi
Ukabila
udini
Ubara na Unzanzibari
Uchawa
Utekaji
Rushwa
Kutengeneza undugu
kufanya vyombo vya...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Wiki Ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.