Ndugu zangu Watanzania,
Popote Ulipo Rais Samia anakufikia ,Rais Samia anamhali Mtanzania mmoja mmoja bila kumbagua yeyote yule. Kwake Rais Samia Mtanzania ndio kipaombele chake. Ni katika Msingi...
Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, ni wakili mkuu wa serikali kwenye kesi ya Lissu.
Wakili huyu amekuwa akionyesha dharau, kiburi na maneno ya majivuno Kwa Tundu Lissu. Nilimtahadharisha kuwa awe...
..jamani huyu askari wetu naambiwa alifariki na kuzikwa Msumbiji.
..mchango wake ktk vita vya ukombozi Msumbiji ni vizuri ukawekwa wazi.
..naambiwa marehemu Field Marshal Samora Machel, Raisi wa...
Baada ya Mahakama kutoa uamuzi kwamba mshtakiwa Tundu Lissu ana Kesi ya kujibu, Lissu amesema kwamba atakuwa na mashahidi 11 ikiwemo yeye mwenyewe kujitetea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hawaogopi chochote na kwamba wataenda nao wanavyotaka, "sisi tunawaambia, tutaenda nao wanavyotaka"
Aidha, Heche amesema tangu wamechaguliwa...
Kikwete , Magufuli na Samia wamepunguza maendeleo sana ya jamii Tanzania.
Katiba Mapya
Ubinafsi
Ukabila
udini
Ubara na Unzanzibari
Uchawa
Utekaji
Rushwa
Kutengeneza undugu
kufanya vyombo vya...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Wiki Ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Jumatatu, Agosti 17, 2026, baada ya upande wa Jamhuri kuomba muda zaidi kutokana na changamoto za kiafya alizopata...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche leo Agosti 21, 2026 amesema Rais Samia Suluhu amejiweka madarakani kwamba hakuchaguliwa na Wananchi na alianzia ndani ya chama chake kwa kujiteuwa...
Prof Baregu amewataka waliokuwa wajumbe wa tume ya katiba Prof Kabudi na Polepole kutosahau msimamo wao ndani ya tume.
Amesema baada ya tume kuvunjwa, yeye pamoja na Warioba, Kabudi, Butiku na...
Na. Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, amelishukuru Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa mchango wake kwa Tanzania tangu kuanza kwa ushirikiano kati...
Gazeti la MwanaHALISI linakiri kupokea barua kutoka Idara ya Habari – MAELEZO, ikimtaarifu Mhariri Mtendaji kuhusu uamuzi wa kusitisha leseni ya gazeti hilo kwa kipindi cha miezi sita, kuanzia...
Huyu kwenye video Anaitwa Peter Richard Mushi ni fundi simu Kariakooalipigiwa simu tarehe13/8/2026 na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mteja anahitaji kutengenezewa simuAlimwelekeza alipo lakini...
Lissu kuwaita mashahidi mahakamani akiwemo Rais wa nchi imekaaje kisheria ?
Kuna kizuizi chochote cha Sheria kuzia rais aliye madarakani kuwa shahidi katika kesi iliyo mahakamani?
Shahidi...
Iwe ni humu JF au mtandao mwingine ambao viongozi mbalimbali hutoa taarifa za mipango ya miundo mbinu na utekelezaji wake na mipango mingine ya nchi maana humu naona walalamikaji tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.