Munabusule
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 976
- 492
- Pride Tanzania inamilikiwa na serikali 100%
- ilisajiriwa mwaka1993 Mei 5
- Hesabu za pride hazijawahi kuwasilishwa kwa CAG kama inavyotakiwa kisheria
- kutowasilishwa mahesabu kunazua maswali mazito kwa watanzania.
- Mtaji wa kuanzishwa ulitoka NORAD kwa makubaliano na URT
- CAG aliandika barua 20/6/2012 kuomba maelezo juu ya umiliki wa pride hakupata majibu toka ofisi ya MSAJIRI WA HAZINA
- Hadi leo msajiri wa hazina hajawahi kujibu hiyo audit querry
Source: Mwananchi page 12