Wanajamvi,
Mahakama ya Mwanzo Mbeya mjini imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja (miezi 12) jela Ramadhan Rudabuka (19) DJ na Mkazi wa Patamela wilayani Chunya kwa kosa la kusambaza maudhui...
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Balozi Dkt. Abdallah Possi, amezitaka jumuiya za kimataifa kutumia njia za mashauriano yenye tijabadala ya kutoa hukumu...
Heshima sana wanajamvi,
Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia upepo wa mashambukizi makali ya viongozi wa CCM wakimbagaza Makamu Mwenyekiti wa CDM Mh Heche.
Ni kawaida katika medani za siasa...
Wanabodi,
Salaam.
Ijumaa ya leo, nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Leo nazungumzia mada ya ukosefu wa fadhila, au ukosefu wa shukrani katika medani za...
Yuko wapi mh. Brian Muntayala Mundubile kiongozi wa upinzani Zambia alieisingizia Tanzania kufuata kukataliwa kwake na wananchi wapiga kura wa Zambia?
Halafu,
hivi kwanini viongozi wa wa upinzani...
Kwanza wameonyesha UNYENYEKEVU kama WATUMISHI wa Mungu Kwa watawala kuwatafuta Ili kuwaambia ukweli
Tangu zamani kazi ya makuhuni na MANABII ilikuwa ni kuonya watawala walipokuwa wanakosea njia...
Kwa mujibu wa sheria yetu ya kanuni ya adhabu. Njama au conspiracy kwa kiingereza inaweza kufanywa na mtu mmoja?
Yaani mtu mmoja apange njama. Yeye mwenyewe peke yake apange kuchoma moto vituo...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umeishauri CHADEMA kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto zao ikiwemo shauri la mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kwa njia ya mazungumzo yenye maslahi...
Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini.
Cha ajabu Bado viongozi wa...
Balozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Dkt. Abdallah Possi, akihojiwa katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Media jana, Agosti 19, 2026, amezua mjadala mzito kuhusu vigezo na malengo...
Baada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho (aliyevaa suti[angalia chini kwenye Video] ), kufungwa pingu kwa madai ya kukaidi agizo la uongozi wa Juu wa mkoa wa Dar es...
Umofia kwenu
Nisiwachukulie muda, tazama na sikiliza hii video
Tulishawasanua awali kuwa matukio yote ya utekaji, utesaji, ufiraji na mauaji huratibiwa na Kamati za Ulinzi na Usalama za...
Kama una makosa basi uhukumiwe kwa kosa lako. Kusema kukinukisha ni uhaini?
Hata hata ule uhaini wa wale wanajeshi waliompinga hayati Nyerere hawakupindua kwa maneno kama haya. Walipanga kutumia...
02 Agosti 2026
Dokumentari - Usaliti kwa MAGUFULI Hadi Saa Yake ya Mwisho
https://m.youtube.com/watch?v=de8Zv6MMh8c
🔴MUHTASARI WA VIDEO ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ Rais John Pombe Magufuli alikuwa...
Kamati imekutana leo kwa ajili ya kupitia na kuchambua Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za Halmashauri ya Wilaya ya Same kwa mwaka wa fedha 2023/2024 na 2024/2025.
Wakati wa uchambuzi wa Taarifa...
Nchi yetu ya Tanzania imekuwa kama nchi ya laana, damu inamwagika Kila sehemu.
Polepole alifanya mistake kubwa kurudi bongo na kujitangaza Kwa majigambo kuwa Yuko bongo. Tanzania ina intelligence...
Nadhani sote ni mashahidi jinsi ambavyo viongozi vijana wa CCM walivyo brilliant na excellent katika kujieleza, kujenga na kutetea hoja mbalimbali za kisiasa, kijamii na kiuchumi, ukilinganisha na...
CCM walianza na ngonjera ya Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania. Baada ya kuimba ngonjera hii kwa muda wa miaka 5 na kukosa muitikiaji, wakaamua kubalili mapigo na kuibuka na ngonjera mpya waliyoipa...
Kwa mapana yake
Tulipotoka
Tulipo na tuendako
Tupopatia tulipokosea na tulipoumizwa
Tulipopotea, tulipokengeuka, tuliporubuniwa na tulipojisahau
Tuwajadili pia wazalendo waliojaribu kuipigiania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.