Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Helen Zille ambaye ni Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Afrika kusini(DA) leo aliongoza maandamano ya kumtaka Zuma aelezee ni jinsi gani ameweza kutumia zaidi ya Rand 200mil kwa ajili ya nyumba...
1 Reactions
55 Replies
11K Views
Tukumbuke kuwa katika uchaguzi wa 2001 jumuia ya Uamsho ilikuwa ni mawakala (observers) wa Marekani kusimamia uchaguzi na waliwakushanyia report na takuwimu za Uamsho na zawangalizi wengine wa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
namsikiliza naibu waziri malima anakishukuru chama kitukufu cha ccm kwa kumchagua tena na anawaomba wabunge wapige makofi kwa kauli hiyo. Duh, kweli ccm ni tukufu na ndio maana watakatifu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama kweli Tanzania tuna nia thabiti ya kuleta maendeleo ya nchi yetu bila kuangalia hila za mafisadi, yatubidi tuchukue somo hapo juu!!! Tanzania tunahitaji umeme wa bei nafu ili gharama za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanabodi Nikwasababu 1.Anaujasiri wa kuwataja wanaotuibia bila kujali mamlaka waliyokabidhiwa kumbuka orodha ya mafisadi watawala nao wakiwemo. 2. Ni Rais mzalendo mwenye itelejensia ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KAULI ya Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue kuwataka Makatibu Wakuu wa Wizara wenye umri wa zaidi ya miaka 60 waachie ngazi imewatetemesha wahusika huku wengine wakidaiwa kukimbilia Ikulu kuomba...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mpango wa kuvuruga GNU wafichuliwaWritten by Mrfroasty (Ufundi) // 04/11/2012 // Habari // 9 Comments Salma Said, Zanzibar KATIBU Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Ogopa!! bora usikie !! Jeshi la mtu moja moja kwa sasa lina songa mbele baada ya kumaliza kazi Daraja mbili na mjini USA KUTEKETEZA mabaki ya chama pinzani Arusha!! "Hili ndo jeshi la mtu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Imetumwa Jumatatu, Novemba 5 2012 KWA UFUPI: NI SITA WA BARA, WANNE ZANZIBAR, CCM SASA KUJADILI RUSHWA KATIKA UCHAGUZI Waandishi Wetu, Dodoma WAKATI mkutano wa Uchaguzi Mkuu wa CCM, unaanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anasema hakuna haja ya kuwa na mambo ya umeme wa dharura kwani ndio chanzo cha ufisadi. Asisitiza hakuna na hakutokuwa na mgao wa umeme. Asema kila mtu anaongelea mambo ya gesi,hata wasiokuwa na...
2 Reactions
72 Replies
6K Views
"The Zanzibar government has said it is set to explore and extract gas and oil in the next two years, after the two items are removed from the Union matters list." ZANZIBAR NI KWETU: ZANZIBAR...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MP (special Seat CCM) ester Bulaya, demanded a union reform of 3 goverment against the guidline of her party. Jee Nape mbona hajakurupuka kama alivyofanya kwa wengine kumkemea? Tafauti yake na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tarehe 26.9.2012 NEC ilitangaza majina ya wagombea mbalimbali ambo walikua wamepitishwa na chama kugombea nafasi mbalimbali za NEC wilayani na kwenye kundi la kifo. Majina hayo yalikua...
1 Reactions
81 Replies
9K Views
Kutoka moyoni mwangu niseme kuwa, HAKUNA mgogoro wenye kuhatarisha amani kati ya Tanzania na Malawi, Kilichopo ni majadiliano ya ASILI tena ya amani huku wahusika wakicheka na kugongesha...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Suala la ajira tanzania limekuwa ni tatizo kubwa sana. Vijana wanahitimu vyuoni wengi hawana ajira , wapo mitaani.Wanatafuta kazi hapa na pale bila mafanikio. Katika bunge la Budget lililopita w/...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
JUMATATU, NOVEMBA 05, 2012 04:36 ADMINISTRATOR *Asema anakerwa na vurugu za kidini nchini *Adai ikibidi, Serikali itazifuta baadhi ya NGOs RAIS Jakaya Kikwete, amesema uhuru wa kisiasa na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wanabodi. Katika kile kinachoonekana kukubaliana na kauli mbiu inayotumiwa na chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Waziri wa nishati na madini Prof. Sospeter Muhongo amesema kauli...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Ikiwa ndo narejea kutoka kijijini Juzi jumamosi wakati Kikwete anaweka jiwe la msingi la kupanua barabara ya Minjingu-Arusha wananchi wa kijiji cha Nanja wa kabila la Wamasai wilayani Monduli...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini chaguzi mbalimbali za viongozi wa CCM na nimeona kuwa zote zimegubikwa na rushwa. Kila anayegombea anatoa rushwa ili ashinde. Nikajiuliza kuwa ni kitu gani hicho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chaguzi za ndani za CCM zilizokamilika hivi karibuni ni ushahidi kwamba RUSHWA works,hivyo badala ya watanzania kuendelea kulalamika kwamba CCM inanuka rushwa na kutoa tabiri kwamba rushwa...
0 Reactions
4 Replies
951 Views
Back
Top Bottom