Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika kipindi cha Dakika 45 Cha ITV leo usiku, Waziri wa Nishati na Madini Professor Sospeter Muhongo amezungumzia dhana ya People's Power ya Chadema na kusema kwamba, ametoa ushauri panapohusika...
9 Reactions
41 Replies
4K Views
Wadau nilileta hapa mada ya jinsi Zimbabwe walivyoweza kuwabana wawekezaji na watu wengi wameonekana kufuhaia hiyo kitu na wengine kujiuliza inawezekana vipi? Ila ukweli ni kuwa kwa zimbabwe hayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Zitto Kabwe Kati ya mwaka 2008 na 2012 takribani shilingi bilioni 403 zimewekezwa mkoani Kigoma katika miradi ya maendeleo kama barabara, bandari, uwanja wa ndege na miradi ya umeme. Huu ni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nashawishika kuuliza maswali mengi sana lakini kwa leo naomba tusaidiane kwa haya kuhusiana na nchi yetu kuwa ni kweli hatujui kabisa ni wapi tulipotoka na wapi tunaelekea na kama kweli hatujui...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Yawezekana sijui maana ya mkutano mkuu, Lakini naamini unawahusu wajumbe wa mkutano mkuu tu, kwa tafsiri nyingine ni kuwa ni kikundo kidogo cha watu wasiozidi 3000 ndicho kinachokutana...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Tangu kuanzishwa kwa vyamna hivi sijawahi kuona kipi hasa wanachokifanya kama harakati za kisiasa zaidi ya kusikia viongozi wanatimuana na kugawiana madaraka kama njugu.kama kuna mwenye taarifa...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
RAIS KIKWETE AZINDUA MIRADI YA BARABARA MANYONI-ITIGI-CHAYA na ISSUNA-MANYONI MKOANI SINGIDA JANA. 5 November 2012 Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana amekata utepe kufungua rasmi barabara ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Suala la kuchimba dawa limefumuka bungeni leo. Naibu waziri ajitetea serikali kuagiza mabehewa mapya yenye uwezo wa kuhifadhi uchafu mpaka mwisho wa safari. Sasa, iwapo haya mabehewa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Prof. Muhongo jana tarehe 5 Novemba 2012 amepewa tuzo ya Honorary Fellow of the Geologacal Society of America (GSA) tuzo ambalo hutolewa kwa geologists waliobobea kwenye tafiti za kimataifa za...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimeitaka serikali ya Mapinduzi kuifuta mara moja Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) kwa kuwa inafanya kazi kinyume na malengo yake...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Baada ya kunyanyaswa na vizuizi vya polisi vilivyomo mji mdogo wa Himo, viliosababsha upungufu mkubwa wa sukari na bidhaa nyingine za chakula, kiasa cha Rombo jimbo linaloongozwa na CDM, na...
3 Reactions
143 Replies
17K Views
Wanabodi. Chadema mnatakiwa kujitathimi upya na harakati zenu za kisiasa toka mlipotoka mpaka mnapoelekea hivi sasa. Acheni kuichezea serikali. Katika Uchaguzi Mkuu wa 2010, Chadema walianza...
7 Reactions
176 Replies
11K Views
I really wonder the way mkama is talking against the way other people view the magnitude and rifeness over the issue of corruption. This man is so corrupt rationary to an extent that he can't see...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo tar 6 Nov, 2012, yule Mbunge wa Mbozi, Godfrey Zambi kachoka kuvumilia "udhaifu katika uongozi wa vikao vya bunge". Kamsema wazi Mwenyekiti wa Bunge kwamba maamuzi yake Bungeni hususani kwa...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Sasa tunaelekea mwishoni mwa mwaka 2012 ambapo tunaangalia miaka 2 tu ya maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015. Ukiangalia jinsi joto la kisiasa linavyopanda kila kukicha, utagundua kuwa %...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NAIBU WA WAZIRI WA FEDHA AJIKANYAGA BUNGENI LEO. 5 November 2012 Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene akijibu swali Bungeni leo asubuhi. Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa akijibu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa sababu ni wazi, hakuna kitu kitakachomfanya Jakaya Kikwete apunguze au kuacha kabisa safari za kwenda marekani kila kukicha, ni bora watanzania tukafanya maombi ili Barack Obama ashinde kiti...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Source: www.mwananchi.co.tz Alisema iwapo kutakuwa na ahadi zitakazoshindwa kutekelezwa kipindi cha uongozi wake, hakuna sababu ya wananchi kuilaumu Serikali kwani yapo mengine ya miaka ya nyuma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Moja ya njia ninayoamini ni ya kumaliza tatizo la umeme Tanzania na kunyanyua uchumi wa nchi, ni serekali kununua dowans na IPTL.haya ndiyo makampuni yanayolinyonya shirika la umeme tanesco na...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Amplats to transfer 51% of Zimbabwe mine to locals PRINT EMAIL |...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom