Umeme wa bei nafuu wa maji kwa maendeleo ya nchi yetu ya Tanzana (hydro electric power)

Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
5,712
1,906
Kama kweli Tanzania tuna nia thabiti ya kuleta maendeleo ya nchi yetu bila kuangalia hila za mafisadi, yatubidi tuchukue somo hapo juu!!! Tanzania tunahitaji umeme wa bei nafu ili gharama za uzalishaji viwandani, micro and small industries tuweze kujikwamua kiuchumi!!! Lakini kama tukiendelea kuleweshwa na propaganda ya mafisadi wenye mitambo ya kuzalisha umeme wa magenerator ya diesel, kama AGRECO, SYMBION( wamefunga mitambo mingine Arusha)DOWANS na IPTL basi tunajizika kwenye kaburi la mufilisi wa kiuchumi Tanzania!!!

Tukingoja hizo story za umeme wa nuclear, sijui jua mara mkaa wa mawe wakati nyenzo za nishati ya umeme wa bei nafuu tunazo, sijui nani tutamlaumu taifa linavyo endelea kuwa masikini!!! Wataalamu wetu, wanasayansi, wabunge wetu, viongozi wa taifa hili wazalendo tafadhari kaeni chini pangeni kuweka power dams Kagera river, Rusumo, Kihansi Stigs Gorge, Rufiji. Tupate umeme wa uhakika na bei nafuu!!! Tuache propaganda za mafisadi wanaofilisi nchi kwa uongo wao eti maji yatakauka mitoni!!! Hao jamaa wa Laos wangeliwasikiliza hizo drama, dams zisingelifanya kazi!!! Umeme unatumika kila mahali, watu wengi wanashindwa kuweka umeme wakiogopa gharama!!!

(HYDRO ELECTRIC POWER) - Laos approves Xayaburi 'mega' dam on Mekong

(JITAHIDI KUSOMA HADI MWISHO)

The dam is due to be finished by the end of 2019
Continue reading the main story
Related Stories

Laos has given the go-ahead to build a massive dam on the lower Mekong river, despite opposition from neighboring countries and environmentalists.
A formal ceremony marking the start of full construction at Xayaburi would be held on Wednesday, the government said.
Countries downstream from the $3.5bn (£2.2bn) dam fear it will affect fish stocks and the livelihoods of millions.

The announcement came as leaders from Asia and Europe began a two-day meeting in the Laos capital, Vientiane. Landlocked Laos is one of South-east Asia's poorest countries and its strategy for development is based on generating electricity from its rivers and selling the power to its neighbors, says the BBC's Jonah Fisher in Bangkok.

Xayaburi is being built by a Thai company with Thai money - and almost all of the electricity has been pre-sold to Thailand, our correspondent says. Countries such as Cambodia and Vietnam point to a report last year that said the project should be delayed while more research was done on the dam's environmental impact. Up to now Laos had promised not to press ahead while those concerns remained.

Continue reading the main story BBC NEWS.

Bold, brave or perhaps a good way to bury the news? The Laos government chose to announce the dam would go ahead on the day it hosted one of the biggest summits in its history. It won't be hard to get immediate feedback. The prime ministers of two of the dam's biggest opponents - Cambodia and Vietnam - are in Vientiane for this week's Asia-Europe Meeting.
The problem both men have is that Laos has followed the letter, if not the spirit, of the 1995 Mekong Agreement. Under its terms the countries that share the Mekong agree to prior consultations on the possible cross-border impact of any development on the river before deciding to proceed. Laos believes it has just done that.

Cambodia and Vietnam expressed concerns about the dam's impact on fish migration and the flow of sediment downstream. So the Laos authorities brought in their own contractors and now say the problems have been solved. Critics of the dam say many of the modifications to it are untested and the decision to proceed amounts to a huge experiment on one of the world's great rivers.

Four dams already exist in the narrow gorges of the Upper Mekong in China but until now there have been none on the slower moving lower reaches of the river, our correspondent says. Laos deputy energy minister Viraphonh Virawong said work on the Xayaburi dam itself would begin this week, and hoped it would be the first of many.

"I am very confident that we will not have any adverse impacts on the Mekong river," Mr Viraphonh told the BBC. "But any development will have changes. We have to balance between the benefits and the costs."

Mr Viraphonh said he believed that concerns about fish migration and sediment flow had been addressed thanks to modifications to the original dam design costing more than $100m. Sediment will be allowed out of the bottom of the dam periodically through a flap and lifts, and ladders will help the fish travel upstream.

"We can sense that Vietnam and Cambodia now understand how we have addressed their concerns. We did address this properly with openness and put all our engineers at their disposal. We are convinced we are developing a very good dam," Mr Viraphonh said.
There was no immediate reaction from Cambodia or Vietnam, whose prime ministers are in Laos for this week's Asia-Europe summit.

Under the terms of a longstanding agreement on the Mekong, there must be consultation between countries on any development on the river.

Dear colleague as you may see this country Laos is embarking on construction of a mega Hydro Electric Power Station on this Mekong river. Regardless of the environmentalist, overriding interests neighbors opposing the construction of the same, they have decided to accomplish this mission of acquire ling cheap hydro electricity for their country development. On the map above more than nineteen hydro power stations some are under construction others are in operation. This means they have cheap hydro electricity for the industries home use and technologies.

Nawasilisha tujadili!

Kama kweli Tanzania tuna nia thabiti ya kuleta maendeleo ya nchi yetu bila kuangalia hila za mafisadi, yatubidi tuchukue somo hapo juu!!! Tanzania tunahitaji umeme wa bei nafu ili gharama za uzalishaji viwandani, micro and small industries tuweze kujikwamua kiuchumi!!! Lakini kama tukiendelea kuleweshwa na propaganda ya mafisadi wenye mitambo ya kuzalisha umeme wa magenerator ya diesel, kama AGRECO, SYMBION( wamefunga mitambo mingine Arusha)DOWANS na IPTL basi tunajizika kwenye kaburi la mufilisi wa kiuchumi Tanzania!!!

Tukingoja hizo story za umeme wa nuclear, sijui jua mara mkaa wa mawe wakati nyenzo za nishati ya umeme wa bei nafuu tunazo, sijui nani tutamlaumu taifa linavyo endelea kuwa masikini!!! Wataalamu wetu, wanasayansi, wabunge wetu, viongozi wa taifa hili wazalendo tafadhari kaeni chini pangeni kuweka power dams Kagera river, Rusumo, Kihansi Stigs Gorge, Rufiji. Tupate umeme wa uhakika na bei nafuu!!! Tuache propaganda za mafisadi wanaofilisi nchi kwa uongo wao eti maji yatakauka mitoni!!! Hao jamaa wa Laos wangeliwasikiliza hizo drama, dams zisingelifanya kazi!!! Umeme unatumika kila mahali, watu wengi wanashindwa kuweka umeme wakiogopa gharama!!!

Nawasilisha tujadili!

Ili nchi yoyote duniani iweze kupata maendeleo ni lazima iwe na umeme wa uhakika kwa ajili ya shughuli zoote za kimaendeleo!!! Viwanda ,migodini, mahospitali , maofisini , majumbani, mashuleni umeme ndilo jibu la mambo mengi!!!

Back
Top Bottom