Malima: 'Chama kitukufu cha CCM... pigeni makofi'

Malima: 'Chama kitukufu cha CCM... pigeni makofi'

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Posts
4,879
Reaction score
1,134
namsikiliza naibu waziri malima anakishukuru chama kitukufu cha ccm kwa kumchagua tena na anawaomba wabunge wapige makofi kwa kauli hiyo.

Duh, kweli ccm ni tukufu na ndio maana watakatifu wanaokiongoza ni type ya kina malima.
 
Ni kwelli CCM kwa Malima ni tukufu ukichukulia kuwa alipewa ulaji kutokana na jina la baba yake na si sifa. Nani alidhani mhuni na maamuma kama huyu angekuwa waziri? Yeye ni mbegu ya akina January Makamba, Hussein Mwinyi, Emanuel Nchimbi na Matayo Matayo. CCM ni chama cha wazazi wao hivyo ni kitukufu ingawa kwa wengi ni kitukutu.
 
Yaani nimecheka hadi basi,jamaa walivyo kauzu hawajapiga hata kofi moja
 
yaani ccm naona ujinga ndio unaongoza chama kabla ya kutetea masirahi ya taifa wanatetea ujinga kupigiana makofi hata mimi nimeshanga kila anyesimama anataka apigiwe makofi mama ishegoma naye kaomba sijui ndio walivyo elekezana. Malima yaani hafai hata kidogo kuwa naibu waziri hata ujumbe wa mtaa hafai maana hajui anachokizungumza.
 
namsikiliza naibu waziri malima anakishukuru chama kitukufu cha ccm kwa kumchagua tena na anawaomba wabunge wapige makofi kwa kauli hiyo.

Hivi ile issue ya kukwapuliwa na CD Morogoro imeishia wapi.
 
Ni aibu sana kwa serikali kumkumbutia mtu kama huyu kwa sababu:

1. Ni kilaza, hana anachoweza, ni kubebwa tu.

2. Ana kashfa ya kuwa na mahusiano na CD, ina maana maadili ni sifuri

3. Alifanya uzembe na kupoteza mali za wanchi, computer, kamera n.k.
 
Malima huyu ndiye yule aliibiwa na mwanamuke kwa hoteli Morogoro kwasababu ya utamu................?????????????:majani7::majani7:
 
Huyu Malima kama kasema hayo maneno basi atakuwa na matatizo ya akili, sifa ya utakufu anayo Mungu tu, sio CCM.
 
hujambo ritz,huyu jamaa hata mimi nimemsikia na amerudia mara 2 baada ya kuona hapigiwi makofi.
 
namsikiliza naibu waziri malima anakishukuru chama kitukufu cha ccm kwa kumchagua tena na anawaomba wabunge wapige makofi kwa kauli hiyo.

Duh, kweli ccm ni tukufu na ndio maana watakatifu wanaokiongoza ni type ya kina malima.

...pamoja na vitu vingine alivyoibiwa huyo waziri hotelin na yule malaya bilashaka akili zake nazo zibeba...
 
Ni kwelli CCM kwa Malima ni tukufu ukichukulia kuwa alipewa ulaji kutokana na jina la baba yake na si sifa. Nani alidhani mhuni na maamuma kama huyu angekuwa waziri? Yeye ni mbegu ya akina January Makamba, Hussein Mwinyi, Emanuel Nchimbi na Matayo Matayo. CCM ni chama cha wazazi wao hivyo ni kitukufu ingawa kwa wengi ni kitukutu.

babake si aliandikisha vijana wa kutosha kuanzisha ugaidi ili aingie madarakani Mwinyi akitoka?Sijui ndio CCM walimwogopa wakamtuliza.Hawa vichwa maji kila mtu na kila kitu ni kitukufu.Hata Mganga.
 
Back
Top Bottom