Prof. Muhongo ndani ya kipindi cha Dk 45 cha ITV

Prof. Muhongo ndani ya kipindi cha Dk 45 cha ITV

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
4,700
Reaction score
1,093
Ndugu wanabodi.

Katika kile kinachoonekana kukubaliana na kauli mbiu inayotumiwa na chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Waziri wa nishati na madini Prof. Sospeter Muhongo amesema kauli mbiu hiyo igeuzwe na kuwa ya kitaifa kwa kusema People's performance na peoples prosperity ili wale wasiowajibika waweze kuwajibika, kwa maelezo zaidi ni katika kipindi cha dakika 45 leo saa tatu.

Source: ITV
 
1. Ccm na serikali imekosa ubunifu....

Au

2. Wanataka kudhoofisha slogan ya chadema na kuchanganya wananchi, huku wakitafuta namna ya kuwateka kimawazo
 
Anaukubali muziki kinamna!
Ila ni bora cdm wakaichukulia hii kauli kwa tahadhari sana isiwe kauli ya kuzima harakati
 
Ndugu yetu Prof Muhongo,

Mahali pako sahihi kisiasa nchini kusiko na mafisadi ni CHADEMA hivyo ruksa kuvuka ili ukapate uhuru wa kutumia kauli mbiu hii ya Nguvu ya Umma bila kulazimika kujitazama mabegani kama akina mapacha watatu watakua jirani na wewe.
 
1. Ccm na serikali imekosa ubunifu....

Au

2. Wanataka kudhoofisha slogan ya chadema na kuchanganya wananchi, huku wakitafuta namna ya kuwateka kimawazo

Me naona CCM na cuf lao moja kuidhofisha CDM,Nakumbuka Mrs aliiga M4C na sasa Mr anakuja na people's Power.
 
Hizo salaam nadhani zimemkuna pia the Boss wa JF.
Ni kweli Slogan imetulia badala ya kuishia tu kwenye power! Na hakika ni zuri kuliko ile ya CCM - ya kujivua gamba ambayo ilileta mikanganyiko kwamba gamba linatoka lakini sumu (ya nyoka) iko pale pale!!
 
Tupo mbali na tv tunaomba mtujulisha anachoongea.
 
Wakuu tuache utani, Mziki wa CHADEMA unatisha mbaya.

Hakuna namna unaweza kuukwepa, alianza Pinda, akaja Magufuri, kisha Masanja mkandamizaji na sasa Prof. Muhongo. Wote hao wanakiri mziki wa CHADEMA kwa kuvuta hisia za watu wawasikilize kwa kusema Peopleee's Poweeeeer!!!!
 
Hiyo ni janja ya nyani kula ndizi mbichi, hiyo slogan ni kutaka kuuma peoples power.
 
Mhongo anafanya propaganda , hasa aliposema kuwa juzi akiwa kule Moshi alikubaliana na ndugu zake wa MOshi kuwa hii slogan iboreshwe na kuwa ya kitaifa .......i smell rat.......asilolijua ni kuwa bila peoples power hata yeye asingekuwa waziri leo hii angeendelea kukalia VIbweta vya Udsm pale .

Peoples power ni kuhusu uwajibikaji wa viongozi kwani people ndio wenye mamlaka yote na wanapaswa kusikilizwa ...........
 
keshasema halumbani, tuangalie uwajibikaji na kukuza uchumi
 
Muhongo misifa tu, atasemaje peoples power inaleta vurugu? Polisi wanaojipendekeza kwa wakubwa na chama cha mapinduzi ndo wanaochochea vurugu tanzania, kama tunataka amani ccm wajitenge na dola, anataka sifa kwa jk..hovyooo!!
 
Kuna siku nitamchambua huyu jamaa tangu akiwa kule Geology udsm na alipokuwa mkuu wa kitengo cha Geology Tanzania , ndiko alipokutana Na the famous Jimmy Sinclaire ......connect the dots.....
 
Mhongo anafanya propaganda , hasa aliposema kuwa juzi akiwa kule Moshi alikubaliana na ndugu zake wa MOshi kuwa hii slogan iboreshwe na kuwa ya kitaifa .......i smell rat.......asilolijua ni kuwa bila peoples power hata yeye asingekuwa waziri leo hii angeendelea kukalia VIbweta vya Udsm pale .

Peoples power ni kuhusu uwajibikaji wa viongozi kwani people ndio wenye mamlaka yote na wanapaswa kusikilizwa ...........

Nimemsikia anasema people's power inaleta umaskini,kwa hiyo tuanzishe people's progress
 
Huyu Muhongo anaelekea kubaya, maana anaanza kuchezea tumaini la watanzania (chadema) . Pamoja na u-profesa wake anajifanya hajui maana ya peoplees power!!!!

Yeye amengia madarakani kwa sababu ya peoplees power, aangalie asije akanyea kambi maana ccm ni walewale, wote walianza na dhihaka hizo. Ila ajue bila peoples power anayoyasema ni ndoto.
 
Back
Top Bottom