Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anaishi na vipande vya mabomu mwilini,anashinda amelala na amepooza kuanzia kiunoni hadi miguuni,mdogo wake aliyekuwa anamtegemea imebidi asitishe masomo kwa kumhudumia na kukosa mtu wa kumsomesha...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Baada ya Waziri mdogo wa Elimu nchini Tanzania kujiaibisha binafsi na kuiaibisha nchi.....niliamua kuingia kwenye web site kuangalia Cv yake. Mlolongo wa Elimu yake imenitia wasiwasi. Mie ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ili wananchi tusimuone kama lipumba ni mdini, amwekee mdhamana mtoto aliyekojolea kurani...
3 Reactions
73 Replies
6K Views
Mwenye mali ameamua... Contract of oil exploration firm cancelled over
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Rais Jk, amewaahidi wakazi na wajasiriamali wa bidhaa za ngozi mkoani manyara kua atawajengea kiwanda cha kisasa cha kusindika ngozi ili waweze kuzalisha bidhaa nyingi zaidi! Hongera sana Jk kwa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
  • Closed
SERIKALI imepiga marufuku wanafunzi wa shule zilizoko chini ya Jumuiya za Kiislamu, kwenda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kusikiliza kesi inayomkabili Sheikh Issa Ponda na wenzake...
0 Reactions
122 Replies
9K Views
Leo hii nimepanda treni la mwakyembe kutoka mjini mpaka ubungo. Nimetumis muda mchache saana. Big up mwakyembe. Umenikuna saana. Kweli tanzania bado tuna watu wenye uwezo na weledi mkubwaa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete pokea pongezi zangu kwa kuonyesha uongozi uliotukuka na wenye tija kwa watanzania kama ulivyothibitishwa na wafuatao:- 1. Mheshimiwa Joseph Selasin, Mbunge wa Rombo 2...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nivema sasa jeshi la police ligeuzwa mfumu nakuwa huduma za police .kwani kwa kufanya hivyo .kutaliondoa kuwa jeshi na kuwa chini ya amiri jeshi mkuu ambaye ni raisi wa nchi.na hivyo kutowezesha...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wananchi Tunasema Sauti ya watu ni Sauti ya Mungu, wananchi tunaamini Mwenyezi Mungu huongea kupitia watu, Na Chama chochote hai, chenye lengo thabiti la kufanikiwa kwenye wigo Wa kisiasa...
0 Reactions
2 Replies
763 Views
Source Star tv Akiongea na waandishi wa habari aiomba serikali kuzungumza na maimamu juu ya mtafakuruku iliyojitokeza kati ya waumini wa dini hiyo na serikali. Ameendelea kusema chama cha...
0 Reactions
91 Replies
5K Views
Admin naomba msihamishe hii kwa kuwa inahitaji msukumo wa kisiasa. Uongozi wa Muhimbili NH (MNH) umekuja na ufisadi mpya unaosababisha usumbufu mkubwa kwa wagonjwa wa NHIF.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
baada kumalizika kwa kikao cha bunge kinachoendea hivi sasa M4C inatinga ndani ya Babati mjini na Babati vijini kwa muda wa wiki mbili, kuchakaza magamba kabisa, operesheni hii itaongozwa na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
VIDEO – MAALIM AKIHUTUBIA MKUTANO K/MAITI 3/11/12Written by Zanzibar Moja // 05/11/2012 // Habari, Vidio // 5 Comments BONYEZA VIDIO Related PostsVideo:Maoni: Mzee Nassoro Moyo Mpango...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wale Waislam safi huamini kuwa unaposwali mara kwa mara na kupata mawaidha inakuweka karibu na Mungu na kukuepusha kuwa na mawazo na matendo maovu. Vilevile Wakristo nao huamini kuwa unapopata...
14 Reactions
103 Replies
8K Views
Jamani mie nipo kijijini huku Sumbawanga, naulizia mishahara ya mwezi huu kama imetoka, hali ngumu sikukuu ya kesho kwa sisi waalimu. Nawasilisha
0 Reactions
174 Replies
17K Views
Hii ni kutokana na vyeo alivyoshika kama Padri, elimu aliosoma na vyuo alivyopita anaweza kuongoza Tanzania kipindi hichi cha UDINI?AU atapalilia udini zaidi badala ya kuupunguza?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wana JF, Nisaidieni. Kinachojiri si Mgogoro wa Dini Tanzania. Labda kama Prof. Lipumba ana ushahidi kuwa wale waliolipua Makanisa, walioiba vifaa vya ibada na kujajisi Msahafu ni WAUMINI. Nadhani...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimesikia mara nyingi rais akiwaita wazungu mabwana wakubwa. Wakati bado wananchi wengi bila kujali elimu zao na nyadhifa zao,kama vile waziri,rais,mkuu wa mkoa,jeshi,au mkuu wa idara yoyote bado...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri mkuu amesema bungeni kwamba anafikiri itakuwa ni jambo zuri kwa sasa kuwa na mjadala wa kitaifa kuhusu hali na umuhimu wa amani ya nchi hasa katika kipindi hiki ambacho kumekuwa na matukio...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom