Je mapato ya chama yataweza kugharamia ujenzi huu?au ndo pesa ya walipa kodi?
ziara ya mwisho ilikuwa Oman. Na oman waliahidia uraia wa nchi mbili. Malipo yake ni kama unayoyaona!!!!Je mapato ya chama yataweza kugharamia ujenzi huu?au ndo pesa ya walipa kodi?
Hela ya walipa kodi.
Halafu, why waste so much money when in three years time ccm itaishia kuwa chama cha upinzani, au kutoweka kabisa kutoka kwenye medani za siasa?