NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,873
Conclusion utaipata ukisha-download nyaraka hizi.

chinese.JPG


chinese2.jpg
 

Attachments

  • nundu.zip
    1.8 MB · Views: 1,158
Ni msafi maana hajawahi kwenda China, bali aliyeenda ni Naibu wake
 
Hao wachina mbona wanaonekana wanapata habari kuhusu nini kinaendelea kwenye serikali ya Tanzania toka vyanzo vingine? Kwa mfano walijuaje Hazina wameandika barua? Hapa naona Nundu alikuwa na team yake, na naibu waziri wake alikuwa na team yake! Lakini wote kwa pamoja wana interest moja = screw Tanzania kama zile twin towers za BOT!
 
Acheni uvivu wakuu,kama mnatumia simu sawa, ila hapo kuna file Invisible ameattach mautamu yote yapo humo, kabla ya kucomment angalie kwanza maana amesema hapo inabidi u download hataki kumwaga mtama kwenye kuku wengi....

Afadhali Mkuu umetusaidia!! Watu waburudike na mziki!!
 
Hizi barua hazimsafishi Nundu bali zinaonyesha kuwa alikuwa ana ka-urafiki haramu na hii kampuni ya China Merchants Holdings nje ya njia zinazokubalika yaani kiofisi maana hawa wanaonekana hawafuati njia sahihi zinazotakiwa kufuatwa na kampuni bali wanatumia kiongozi mla rushwa/mlafi kama Omar Nundu kuipiga bao kampuni ya China Communications construction Ltd ambayo tayari proposal yake imekubalika na imeshapata fedha toka Exim Bank China!

Sasa sijui ni punda gani anaweza kuacha mradi ulioiva namna hiyo wa China Cummunications Construction Ltd akaenda kwa huu wa China Merchants Holdings ambao haujasema ni kiasi gani ita-finance huo mradi na kwa riba kiasi gani!

Hapa simply hii barua inaonyesha jinsi mawaziri wetu vilaza walivyo tayari ku-take risky decisions na ku-subotage miradi mikubwa ya maendeleo ili mradi tu wamehakikishiwa kushibishwa matumbo yao na miradi fake inayokosa transparency bali kupitia kwa vimemo viinavyoweza kui-cost nchi kama mikataba ya umeme ta Tanesco!

Omar Nundu lazma ajiuzulu manina.....!
 
Hao wachina mbona wanaonekana wanapata habari kuhusu nini kinaendelea kwenye serikali ya Tanzania toka vyanzo vingine? Kwa mfano walijuaje Hazina wameandika barua? Hapa naona Nundu alikuwa na team yake, na naibu waziri wake alikuwa na team yake! Lakini wote kwa pamoja na interest moja = screw Tanzania kama zile twin towers za BOT!

Hebu tusaidieni hizo nyaraka za Naibu Waziri alivyohusika. Maana kama alihongwa tiketi ya ndege na vijifedha, aliyesema hayo ni Nundu ambaye anataka kutuambia, Naibu alimzidi nguvu, sasa hebu tujiridhishe kabla ya kubeba maneno ya mwizi mtoto anayesema sikuiba peke yangu!!!
 
Haya ndiyo yalikuwa yanasemwa bungeni.

Hapa Invisible una maana gani kuwa Nundu ni msafi?
 
Mhnnn!!! Haya!!! Kumekucha!!
Hivi inawezekana JK kwake habari nzito ni kwenda kuzika a Dead body Bingu wa Mutharika kuliko hii, bado siamini kama JK pamoja na udhaifu wake mwingi bado atakuwa amefanya kosa hili.
 
Mbona juzi Nundu aliliambia bunge kwamba hana kampuni yoyote anayotaka kuipendelea ila anataka tender itangazwe upya ili kampuni nyingi zishindanishwe? Na pia mbona alisema hajui lolote kuhusu CCCC?

Hapa kweli kazi ipo!!
 
Hivi inawezekana JK kwake habari nzito ni kwenda kuzika a Dead body Bingu wa Mutharika kuliko hii, bado siamini kama JK pamoja na udhaifu wake mwingi bado atakuwa amefanya kosa hili.


Unadhani kwa JK hii ni big issue?

Kama aliacha watu wanakufa wakati wa mgomo wa madaktari, anaweza kustuka kwa issue kama hii??
 
57 Reactions
Reply
Back
Top Bottom