M4c kata ya Lukuledi - Masasi yavunja rekodi

M4c kata ya Lukuledi - Masasi yavunja rekodi

MIRICHE

Member
Joined
Sep 18, 2012
Posts
20
Reaction score
8
M4C leo ipo kijiji cha Nambawala kata ya Lukuledi wilaya ya Masasi, tunafungua tawi katika kijiji hicho.Watu karibu 200 wamejiunga na CHADEMA sijapata kuona tangu nianze kazi ya kujenga chama ndani ya wilaya hii, sasa hivi tupo kwenye maandamano makubwa kuelekea sehemu ambapo tawi limejengwa.
Kwa kweli sasa Masasi imeanza kubadlika,hadi sasa wanachama 20 wamerudisha kadi na wengine wanaendelea kurudisha.Safu ya uongozi nitatuma jioni makao makuu kwa njia ya mtandao.
 
Ni habari nzuri lakini inapendeza ukiweka na picha za matukio
 
M4C leo ipo kijiji cha nambawala kata ya lukuledi wilaya ya masasi,tunafungua tawi katika kijiji hicho.watu karibu 200 wamejiunga na chadema sijapata kuona tangu nianze kazi ya kujenga chama ndani ya wilaya hii,sasa hivi tupo kwenye maandamano makubwa kuelekea sehemu ambapo tawi limejengwa,kwa kweli sasa masasi imeanza kubadlika,hadi sasa wanachama 20 wamerudisha kadi na wengine wanaendelea kurudisha.safu ya uongozi nitatuma jioni makao makuu kwa njia ya mtandao

Mungu akupe nguvu zaidi!
 
Safi sanaaaa!!!
Songa mbele CHADEMA
Mkuu tupia na picha kidogo tule Burudani.

VIVA CHADEMA!!!
 
sina dugital camera ila nitajitahidi niipate ili muweze kupata picha halisi isije ikaonekana kama ni danganya toto,si mnajua tena hadi tuuze korosho na bei zenyewe ndio hivyo sisiem wamechakachua
 
Chapa lapa imarisha chama bro kaza uzi muongeze mbio bwana hawa mumiani wa CCm wanarejea mashudu tuu kwenye uongozi
 
sina dugital camera ila nitajitahidi niipate ili muweze kupata picha halisi isije ikaonekana kama ni danganya toto,si mnajua tena hadi tuuze korosho na bei zenyewe ndio hivyo sisiem wamechakachua
Mkuu huna hata kasimu kamchina ili utupe picha?
Azima hata za wanakijiji hapo.
 
M4C leo ipo kijiji cha nambawala kata ya lukuledi wilaya ya masasi,tunafungua tawi katika kijiji hicho.watu karibu 200 wamejiunga na chadema sijapata kuona tangu nianze kazi ya kujenga chama ndani ya wilaya hii,sasa hivi tupo kwenye maandamano makubwa kuelekea sehemu ambapo tawi limejengwa,kwa kweli sasa masasi imeanza kubadlika,hadi sasa wanachama 20 wamerudisha kadi na wengine wanaendelea kurudisha.safu ya uongozi nitatuma jioni makao makuu kwa njia ya mtandao

Hongereni makamanda kwa kazi nzuri mnayoifanya,kazeni buti na hakikisheni mnayatunza matawi yote na hao viongozi wa muda wanakuwa mfano kwa wananchi,wakuwa active siku zote na jengeni umoja kwa dhati kabisa ili msibadilikiane huko mbeleni.Hakikisheni pia hakuna mapandikizi maana hiki ndicho kipindi cha CCmC kuanza kutuma mapandikizi kwa wapinzani.
 
Back
Top Bottom