Baada ya siku tatu za mkutano kizota unawazungumzaje ccm

Mghaka

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
320
127
Wana JF kwa kigezo cha hotuba ya Karume na matamko ya viongozi wengi na sasa kwa orodha ya majina ya secretariat mpya je unaona kama CCM wameondoka Kizota wakiwa wamoja au wamegawanyika, tafadhali toa maoni yako ambayo yanazingatia vigezo vya hoja. CCM pokeeni maoni haya kwani ni ya watu binafsi lakini kwa kuwa kila kura inahesabika ni bora mkayafanyia kazi. Nawie kazi kwako tafadhali
 
Back
Top Bottom