Leo kulikuwa na Kongamano la kusindikiza Maadhimisho ya Miaka 51 ya Uhuru wa Tanganyika.Maadhimisho hayo yaliyoratibiwa na Jumuiya ya Wanazuoni wa UDSM-UDASA,yalifanyika Chuo Kikuu cha Dar es...
MADA; RASILIMALI NA MUSTAKABALI WA UCHUMI WA TAIFA LETU KWA MIAKA 50 IJAYO;
Jumapili, 09 Desemba 2012, 1400 – 1800HRS – Nkrumah Hall (UDSM).
Imeandaliwa na Kuchangiwa Na...
Makamanda wawili, Godbless Lema na Vincent Nyerere kesho wataanza kuishambulia Musoma. Bila shaka Watanzania wa Musoma kesho watanufaika na M4C.
Itakumbukwa kuwa Vincent alikuwa na ziara ya siku...
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba amembana Mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe Mkongwe (Cuf), Ismail Jussa aeleze kuhusu mfumo wa uendeshaji wa Muungano wa mkataba...
Hawa wadosi wa OLAM wanasaidia vipi wakulima wa Korosho huko kusini?
Inaonekana hapa hakuna cha PINDA na KILIMO kwanza wala nini.
Je TRA wamechukua Tax kiasi kwenye hii deal ya TRILIONI 1...
USIPOKUWA MWAMINIFU KWA KIDOGO HUWEZI KUWA MWAMINIFU KWA KIKUBWA PIA....(nimaelezo ya yatokanoyo katika mdomo wa Nape kwa maana nyingine ni kauli thabiti inayotokana na wadhifa wake )sasa...
Na Victor Bariety, Geita - Mtanzania
*Mwenyekiti wao asema hatapeleka maendeleo kata za CHADEMA
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Geita, Joseph Musukuma, jana...
Ndiyo wakuu, heshima kwenu ! Kabla ya kuendeleza moto wa vuguvugu la mabadiliko (M4C) lenye kauli mbiu OPERATION CHAKAZA CCM ulio washwa jana mjini bunda, muda huu makamanda Lema, mawazo, vicent...
Habari za jumapili Wakubwaa...
Nina masikitiko makubwa kuona serikali imefanikisha kusafirisha gesi hadi kwenye mitambo mipya ya kufua umeme Kinyerezi, Dar..
But, the question who benefit Gas...
Of stolen dollars and ping-pong
Sunday, 09 December 2012 09:59
By Morice Maunya
The Citizen Correspondent
Dar es Salaam.
As the world observes the UN Anti-Corruption Day today...
Whoever has a capacity of getting soft copies of contibutions made by invited speakers to the Symposium organised by UDASA, please help us by posting the same on this site for use and posterity...
Ameyasema hayo wakati akitoa hotuba katika kongamano la uhuru Udsm. Na akakiri kuwa tuna wazee wengi ambao walisoma bure na iliwezekana ni kwa nini isiwezekane?
majimbo yafuatayo 1.kinondoni 2.segerea, 3. ukonga, 4. temeke, 5. kigamboni haya majimbo 2015 yanatarajia kuwa himaya ya upinzani kutoka na wabunge wake wamelala usingizi mzito na hawana hata muda...
Leo tarehe 9 December tunasherehekea Uhuru wetu kama Taifa. Kesho Tarehe 10 December Tunaadhimisha siku ya Haki za Binadamu Duniani. Kwangu mimi ni matukio muhimu katika maisha yetu ambayo...
Nimeamua kuja mwenyewe. Nashangaa wakati mwingine maana ni hapa ndo watu walisema Nape kashazibwa mdomo kama vile yale ni maamuzi ya Nape binafsi.
Jana nimewakumbusha tu watuhumiwa na wapambe wao...
Financial Times Tanzania special report: Politics - Young activists bring a belief that things must change (source: Politics: Young activists bring a belief that things must change - FT.com)
As...
Why Kenyan politicians openly sleep around when Tanzanians do it behind closed doors
By Jenerali Ulimwengu
Within the three senior East African countries, Kenya and Tanzania have been staging...
Kinana akiwa na malengo ya kurudisha dhana ya uhai wa CCM enzi za Nyerere, ametaka wanachama na viongozi wa CCM kuacha kuitana waheshimiwa bali ndugu.
Je, wenzake watailewa mantiki yake? Mbona...