Majimbo haya njia nyeupe kwa CHADEMA

Lua

JF-Expert Member
May 19, 2011
704
305
majimbo yafuatayo 1.kinondoni 2.segerea, 3. ukonga, 4. temeke, 5. kigamboni haya majimbo 2015 yanatarajia kuwa himaya ya upinzani kutoka na wabunge wake wamelala usingizi mzito na hawana hata muda wa kutatua kero za wananchi na kutimiza ahadi zao.

mfano kwa Idd Azan kwanza hata ofisini kwake hajawahi kukanya tangu achaguliwe yeye yupo bize na biashara zake za magari na nyumbani kwake maeneo ya gereji kwa makanya amebomoa na sasa anajenga ghorofa, anaona bora ajilimbikizie mali mapema kabla 2015.

ukonga matatizo ya maji ni makubwa barabara (moshi bar) hazipitiki na hana jitihada zozote za kushinikiza serikali kama wanavyofanya wabunge wengine. hivyo hivyo kwa wabunge wa kigamboni na temeke. makamanda mliyoweka nia jipangane ngoma inogile hiyo.
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,203
25,648
Vipi Mnyika kaleta maji Ubungo? Vipi Halima Mdee kajenga barabara Msasani mandazi road? Vipi Wenje kaishawajengea machinga jengo lao (Machinga Complex).
 
Lua

JF-Expert Member
May 19, 2011
704
305
Vipi Mnyika kaleta maji Ubungo? Vipi Halima Mdee kajenga barabara Msasani mandazi road? Vipi Wenje kaishawajengea machinga jengo lao (Machinga Complex).
ndio maana mnyika alifanya ziara ya kuzindua visima vya maji ubungo, halima barabara zake zipo katika mpango wa bajeti ya mwaka huu. vp kikwete kamaliza kujenga machinga complex 2 kwa kila manispaa?
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,203
25,648
ndio maana mnyika alifanya ziara ya kuzindua visima vya maji ubungo, halima barabara zake zipo katika mpango wa bajeti ya mwaka huu. vp kikwete kamaliza kujenga machinga complex 2 kwa kila manispaa?

Kimara Bonyokwa kuna visima vingapi?
 
Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,145
3,187
Huyo mbunge wa Ukonga ni kama tutusa tu. Yaani huwa hana hata muda na wananchi wake. Watu wana shida kubwa huko Moshi bar sijui majohe, kivule, lakini mbunge hajawahi kuonekana huko. Hata huwa sielewi kwenye vikao vya madiwani mbunge wa huko huwa anachangia nini wakati hata hujui matatizo ya wananchi wake. Ngoja nifikirie kwenda kuchukua hili Jimbo! Nitaanza kula jalamba huko.
 
MATESLAA

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,246
74
Hata hapa irnga mjin ha2na mbunge bora monika mbega wa ccm badala ya msigwa
 
TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,381
274
majimbo yafuatayo 1.kinondoni 2.segerea, 3. ukonga, 4. temeke, 5. kigamboni haya majimbo 2015 yanatarajia kuwa himaya ya upinzani kutoka na wabunge wake wamelala usingizi mzito na hawana hata muda wa kutatua kero za wananchi na kutimiza ahadi zao.

mfano kwa Idd Azan kwanza hata ofisini kwake hajawahi kukanya tangu achaguliwe yeye yupo bize na biashara zake za magari na nyumbani kwake maeneo ya gereji kwa makanya amebomoa na sasa anajenga ghorofa, anaona bora ajilimbikizie mali mapema kabla 2015.

ukonga matatizo ya maji ni makubwa barabara (moshi bar) hazipitiki na hana jitihada zozote za kushinikiza serikali kama wanavyofanya wabunge wengine. hivyo hivyo kwa wabunge wa kigamboni na temeke. makamanda mliyoweka nia jipangane ngoma inogile hiyo.

Makamanda wapo gado,binafsi nitagombea jimbo la KALENGA.BILA WOGA WALA VITISHO 2015 CHADEMA ITASHINDA Na kutinga magogoni.Mkwawa shujaa.
 
Kichuli

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
320
54
mbona husemi ya chadema kama vile ilemela nyamagana meatu musoma mjini ukelewe arusha iringa mbeya mjini hawa wote wamefanya nini kama siyo maandamano kila siku?
 
Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
19,816
15,011

.....wanaoafiki waseme ndiyo....ndiyoooooooo....
:tea: !!!

.........bora jiwe.....linamatumizi mengi mfano..... kokoto nk....
 
Thanda

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,915
595
ndio maana mnyika alifanya ziara ya kuzindua visima vya maji ubungo, halima barabara zake zipo katika mpango wa bajeti ya mwaka huu. vp kikwete kamaliza kujenga machinga complex 2 kwa kila manispaa?

Amalizie wapi wakati hela kampa Riz1? na hiyo hela ndio iliyotumika kuanzisha chuo kikuu chini ya mwavuli wa "Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology" kule Arusha,...ndio kwani nani hajui kuwa Chuo hicho ni cha Riz1?....Kakae kitako na Director wa chuo hicho Prof. D Mavura akueleze.
 
Mingoi

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
11,698
6,057
Mleta thread umeamua kwa dhati kukipotosha chama chako, 2015 CDM inaagwa rasmi baada kufa 2014 katika chaguzi za serikali za mitaa.
 
IGUDUNG'WA

JF-Expert Member
Oct 22, 2011
2,071
1,310
majimbo yafuatayo 1.kinondoni 2.segerea, 3. Ukonga, 4. Temeke, 5. Kigamboni haya majimbo 2015 yanatarajia kuwa himaya ya upinzani kutoka na wabunge wake wamelala usingizi mzito na hawana hata muda wa kutatua kero za wananchi na kutimiza ahadi zao.

Mfano kwa idd azan kwanza hata ofisini kwake hajawahi kukanya tangu achaguliwe yeye yupo bize na biashara zake za magari na nyumbani kwake maeneo ya gereji kwa makanya amebomoa na sasa anajenga ghorofa, anaona bora ajilimbikizie mali mapema kabla 2015.

Ukonga matatizo ya maji ni makubwa barabara (moshi bar) hazipitiki na hana jitihada zozote za kushinikiza serikali kama wanavyofanya wabunge wengine. Hivyo hivyo kwa wabunge wa kigamboni na temeke. Makamanda mliyoweka nia jipangane ngoma inogile hiyo.

kaka mimi sijakubaliana na wewe kwa jimbo la temeke. Ukweli mtemvu kajitahidi sana kuwapelekea barabara za lami watu wake
 
Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,545
132
majimbo yafuatayo 1.kinondoni 2.segerea, 3. ukonga, 4. temeke, 5. kigamboni haya majimbo 2015 yanatarajia kuwa himaya ya upinzani kutoka na wabunge wake wamelala usingizi mzito na hawana hata muda wa kutatua kero za wananchi na kutimiza ahadi zao.

mfano kwa Idd Azan kwanza hata ofisini kwake hajawahi kukanya tangu achaguliwe yeye yupo bize na biashara zake za magari na nyumbani kwake maeneo ya gereji kwa makanya amebomoa na sasa anajenga ghorofa, anaona bora ajilimbikizie mali mapema kabla 2015.

ukonga matatizo ya maji ni makubwa barabara (moshi bar) hazipitiki na hana jitihada zozote za kushinikiza serikali kama wanavyofanya wabunge wengine. hivyo hivyo kwa wabunge wa kigamboni na temeke. makamanda mliyoweka nia jipangane ngoma inogile hiyo.

Wakati wa watanzania kujaribu bahati nasibu ushapitwa,hayo majimbo kadhaa yanayoongozwa na chadema mpaka sasa hayana maana ,kwa mfano nyamagana na ilemela hapa mwanza sijaona hata kimoja cha maana kwa hawa masharo baro,na wenje kwa kujua hana issue anajiandaa kwenda kugiombea kwao huko rorya baada ya kujua watu wa mwanza hatuna mchezo na maisha ya kisiasa! ole wake atakayeipigia chadema kura 2015 hakika kizazi chake kitajutia milele!
 
Mingoi

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
11,698
6,057
Hata hapa irnga mjin ha2na mbunge bora monika mbega wa ccm badala ya msigwa

DSC02238.JPG

Wanajamvi kuuliza si ujinga,hivi Senga (kulia) ana uhusiano wowote kindugu na Mh Msigwa??
 
ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,004
1,130
Msoga kwa JK wananch wana maji? Wana umeme? Wana barabara?

msoga hasa ile njia panda ya kwenda kwenye maekalu ya jk kule juu ya kilima panatisha panatapisha ukiona vile vinyumba vya udongo au mkulu havionagi daa aibu sana
 
FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
314
Kweli naamini watz bado tuna akili za mgando samahani lakini mtu unakaa kwenye keyboard na kusema mnyika sijui jimbo fulani liko wazi leo tuna miaka 3 mizima kabla ya uchaguzi.

Kwa wale wa chadema usimuhamishe aliye lala pageni mbinu zenu mbona majimbo mengi yapo wazi sana.

Na pia kwa wale wanaotoka majimbo ya chadema waamsheni wale wabunge mnaona wamelala hawafanyi chochote majimbo tuliyo nayo sasa ndo mtaji wetu tusikubali kupoteza hata moja bali tuongezee.

Sasa mnaongozaje majimbo sio kwa kupiga ngojera hapa silaha ya kwanza ni wabunge wa chadema kudelivery yale waliyo ahadi.

Wale tusidanganyane hapa eti kazi ya mbunge ni kusimamia serikali kama mbunge umewekwa na raia wako mnaweza buni miradi mbali mbali.

Mfano:
Wabunge wa mikoani:
Tunajua kilimo ni uti wetu wa mgongo sijui asilimia 80 ni wakulima hapa tanzania kwanini wabunge msibuni miradi mizuri ya kilimo.

Ukipita njia ya dar-arusha kuna mapori mengi sana ushauri tafuteni vikundi vya watu 10-20 wale watu wanunue hisa wapewe ardhi na kijiji halafu mnawaombea mkopo.

Mbunge andaa proposal nzuri ya kilimo tuseme kitalu A walime matunda watafutie masoko ya matunda hayo.kitalu B walime mahindi hapa kwenye mahindi mnaweza tengeneza kiwanda cha kusaga na kukoboa mtengeneze unga wenu.

Kumbuka:
Kilimo kiwe cha kisasa
Kitumie umwagiliaji kisitegemee mvua

Muone kama hamjautokomeza umasikini tatizo wabunge asilimia 80 wote wako masaki osterbay hamuwezi jenga nchi hivyo.

Fred kavishe
 
Chibenambebe

Senior Member
Mar 27, 2012
148
24
Manyoni mashariki kwa Chiligati kule elimu ya Uraia tu inahitajika! Nasikia yeye kasema hagombei anamrithisha mtu wake wa karibu kitu ninachokiona ni kushindwa vibaya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom