Nape: Msimamo dhidi ya ufisadi hautabadilishwa

Honey K

JF-Expert Member
Sep 14, 2008
629
72
Nimeamua kuja mwenyewe. Nashangaa wakati mwingine maana ni hapa ndo watu walisema Nape kashazibwa mdomo kama vile yale ni maamuzi ya Nape binafsi.
Jana nimewakumbusha tu watuhumiwa na wapambe wao si busara kujifariji kuwa maamuzi yatabadilishwa nje ya vikao, na vikao vyenyewe ni lazima iwe ama NEC au Mkutano Mkuu(Congres) na si vinginevyo.
Kuna hoja hapa eti kwamba Nape anabwabwaja tu, hakuna vitendo, let's be objective,hivyo vitendo ni vipi? Taarifa ya utekelezaji wa maamuzi haya itatolewa kwenye kikao kijacho cha NEC na si siku 90 kama wanavyojaribu kueleza hapa. Tumelieleza sana hili la siku,WAANDISHI TENA BAADHI ndo walitafsiri siku tisini kutoka kwenye ratiba ya vikao vya NEC ambavyo Dodoma tulikubaliana tentively tunaweza kukutana July ndo wakahesabu na kusema siku tisini. Lakini hakuna kikao kinakutana exactly kwa muda ulopangwa,kuna flexibility.
Ushauri subirini NEC ikutane mtuseme tukishindwa kufukuza.
 
Nyani Ngabu, hivi kweli leo wataka nitaje upya au sijaelewa swali lako? Si nyie ndo mnasema mapacha watatu na wanafahamika?
 
Nape Mnauye ....wewe ni mkuu wa wilaya .... nafasi ambayo ni kubwa na ina impact kubwa kwa maendeleo ya wananchi na taifa kwa ujumla ..... nakosa kupata umakini wako pale unapokuwa unabariki kudidimiza maendeleo ya wananchi kwa kuhangaikia shughuli za kisiasa zaidi tena bila aibu kwenye majukwaa ya social media kama mtu asiye na station of work, duties and responsibilitie kama wale wapiga debe wa ubungu na vituo vya basi

hivi tangu umekuwa mkuu wa wilaya what have you achieved creatively and from your personal efforts to bring about development and reduce economic hardship of the citizens you govern them....?

this country needs Patriots and not Parrots
 
Nimeamua kuja mwenyewe. Nashangaa wakati mwingine maana ni hapa ndo watu walisema Nape kashazibwa mdomo kama vile yale ni maamuzi ya Nape binafsi.
Jana nimewakumbusha tu watuhumiwa na wapambe wao si busara kujifariji kuwa maamuzi yatabadilishwa nje ya vikao, na vikao vyenyewe ni lazima iwe ama NEC au Mkutano Mkuu(Congres) na si vinginevyo.
Kuna hoja hapa eti kwamba Nape anabwabwaja tu, hakuna vitendo, let's be objective,hivyo vitendo ni vipi? Taarifa ya utekelezaji wa maamuzi haya itatolewa kwenye kikao kijacho cha NEC na si siku 90 kama wanavyojaribu kueleza hapa. Tumelieleza sana hili la siku,WAANDISHI TENA BAADHI ndo walitafsiri siku tisini kutoka kwenye ratiba ya vikao vya NEC ambavyo Dodoma tulikubaliana tentively tunaweza kukutana July ndo wakahesabu na kusema siku tisini. Lakini hakuna kikao kinakutana exactly kwa muda ulopangwa,kuna flexibility.
Ushauri subirini NEC ikutane mtuseme tukishindwa kufukuza.

Mkuu unaonaje next time hayo maamuzi yenu ya NEC mnayoyatoa kwa waandishi muwe mnatoa pia kwa maandishi, ili hi i sintomfahamu na kinachoitwa uzushi isitokee tena?
 
Nape,watafukuzwa kwa ajili ya ufisadi? Kama ndio,kuna ushahidi ambao utaweza kuwapeleka mahakamani?...Kama hakuna ushahidi je,wanaweza kuondolewa kwenye chama based on the fact that they are businessmen?i.e they own businesses contrary to Azimio la Arusha? I really prefer the first option but the second option(based on their business ownership) should be enforced to the rest too!! I can't wait till all businessmen are expelled from CCM.
 
Halafu sorry mkuu Nape, nje ya mada kidogo, kuna hii tuhuma kwamba uliseme usingeweza kujiunga Chadema kwa sababu ni chama cha wachaga, je hii nayo jamaa walikuchukua "out of context'?
 
Nyani Ngabu, hivi kweli leo wataka nitaje upya au sijaelewa swali lako? Si nyie ndo mnasema mapacha watatu na wanafahamika?

Tatizo ni jinsi mnavyogeuzageuza maneno,mara hautukutaja majina kwenye kikao,mara mafisadi mnawataja na kwamba mtawafukuza .
Haieleweki kipi ni kipi,mnayakana hata mnayosema kwenye tv hii ni hatari.
 
Kwanza U-DC nlishaacha siku nilipoteuliwa katibu wa NEC. Kwahiyo kupanda majukwaani kwasasa si tatizo.
Kuhusu nilichofanya Masasi, sijisifu lakini nenda leo au tafuta mtu aliyeko Masasi atakuambia, na hakika si rahisi kunisahau pamoja na kukaa miezi nani tu.
Maneno gani yanageuzwa? Hata hiyo siku ya kikao na wahariri, tulielezea kilichotokea,tatizo watu wanachukua maneno ambayo hayajatolewa ufafanuzi, na jana nimesisitiza UAMUZI na MJADALA WA NEC VIME REKODIWA kwa MOVING kamera na ndo maana wanaosema ni maamuzi ya Nape na Chiligati si wajumbe wa NEC. Bado nashauri subirini tushindwe kuwafukuza....
 
Maamuzi si tu kwamba yapo kwa maandishi bali yapo pia kwa video tapes.... So wakati mwingine nikutaka tu ku complicate mambo pengine lakini uamuzi upo na nimeagiza uwekwe kwenye website ya chama.
 
Na hili la je ni hawa tu? Kilichoamuliwa HII VUA GAMBA NI SAWA na KUOGA lazima unaanzia mahali na mara nyingi ni kichwani,lakini imelenga kushughulikia wale wote wanaokiuka maadili ya chama ambayo yako wazi sana tu
 
Nimeamua kuja mwenyewe. Nashangaa wakati mwingine maana ni hapa ndo watu walisema Nape kashazibwa mdomo kama vile yale ni maamuzi ya Nape binafsi.
Jana nimewakumbusha tu watuhumiwa na wapambe wao si busara kujifariji kuwa maamuzi yatabadilishwa nje ya vikao, na vikao vyenyewe ni lazima iwe ama NEC au Mkutano Mkuu(Congres) na si vinginevyo.
Kuna hoja hapa eti kwamba Nape anabwabwaja tu, hakuna vitendo, let's be objective,hivyo vitendo ni vipi? Taarifa ya utekelezaji wa maamuzi haya itatolewa kwenye kikao kijacho cha NEC na si siku 90 kama wanavyojaribu kueleza hapa. Tumelieleza sana hili la siku,WAANDISHI TENA BAADHI ndo walitafsiri siku tisini kutoka kwenye ratiba ya vikao vya NEC ambavyo Dodoma tulikubaliana tentively tunaweza kukutana July ndo wakahesabu na kusema siku tisini. Lakini hakuna kikao kinakutana exactly kwa muda ulopangwa,kuna flexibility.
Ushauri subirini NEC ikutane mtuseme tukishindwa kufukuza.

Nyani Ngabu, hivi kweli leo wataka nitaje upya au sijaelewa swali lako? Si nyie ndo mnasema mapacha watatu na wanafahamika?

Kwanza U-DC nlishaacha siku nilipoteuliwa katibu wa NEC. Kwahiyo kupanda majukwaani kwasasa si tatizo.
Kuhusu nilichofanya Masasi, sijisifu lakini nenda leo au tafuta mtu aliyeko Masasi atakuambia, na hakika si rahisi kunisahau pamoja na kukaa miezi nani tu.
Maneno gani yanageuzwa? Hata hiyo siku ya kikao na wahariri, tulielezea kilichotokea,tatizo watu wanachukua maneno ambayo hayajatolewa ufafanuzi, na jana nimesisitiza UAMUZI na MJADALA WA NEC VIME REKODIWA kwa MOVING kamera na ndo maana wanaosema ni maamuzi ya Nape na Chiligati si wajumbe wa NEC. Bado nashauri subirini tushindwe kuwafukuza....

Maamuzi si tu kwamba yapo kwa maandishi bali yapo pia kwa video tapes.... So wakati mwingine nikutaka tu ku complicate mambo pengine lakini uamuzi upo na nimeagiza uwekwe kwenye website ya chama.

Na hili la je ni hawa tu? Kilichoamuliwa HII VUA GAMBA NI SAWA na KUOGA lazima unaanzia mahali na mara nyingi ni kichwani,lakini imelenga kushughulikia wale wote wanaokiuka maadili ya chama ambayo yako wazi sana tu

Nape ... are you a patriot or a parrot ....too much blah blahh blahhh

there are wrong calculations you are trying to do ..... the above testimony is completely lunatic and mimicking

first we will not believe the anti ufisadi war until you have the power to confiscate all the money and wealth that have been swindled by the said mafisadi

what you are doing is a lenient undercover job to safeguard the said financial oligarchies of whom you can not dare to talk

i suppose that you could have been a smart boy by denying the propaganda job you have been given and continue with the DC role
 
Kama mwanzilishi wa thread hii nampongeza ndugu Nape kwa kuja kujibu baadhi ya tuhuma hapa badala ya kulalamika kule kwenye facebook. Kwa hili nampongeza sana na ninakuomba uwe na ujasiri huu wa kukabiliana na watu hapa kwa hoja. Hongera sana

Mkuu unathibitishaje kuwa Nape amejibu hoja?
Kwani hapa kuna ID mbili zinazoonesha kuwa Nape anajibu; ya kwanza ni Nnauye Jr na nyingine ni Albano. Tuamini ipi sasa maana zote zimetoa majibu.
 
Nape nakusihi sana, hapa jamvini ni mahala panapotaka weledi wa hali ya juu kabla hujapokea na kuzifanyia kazi hoja za wadau, narejea wasifu wako ndani ya chama chetu, na ninaangalia unachokiandika hapa naanza kupata shida kidogo... Sijui ni wewe kweli au kuna mtu kajibatiza.... Nashauri ukitaka kuwa responsible leader ambaye uko tayari kukabili umma ktk pr kwanza introduce blog yako......ui link na face book yako na sometimes na hili jamvi..... Interest yangu ni credibility ya ccm kupitia kwako...... Sipendi maisha na taarifa za kutia shaka kutoka kwa kiongozi wa chama changu.
Pliiiiz fanyia kazi hili haraka kabla ya kushughulika na jamvi hili........

Kidumu chama cha mapinduzi
 
Na hili la je ni hawa tu? Kilichoamuliwa HII VUA GAMBA NI SAWA na KUOGA lazima unaanzia mahali na mara nyingi ni kichwani,lakini imelenga kushughulikia wale wote wanaokiuka maadili ya chama ambayo yako wazi sana tu

Nape karibu tena jamvini, labda tu naomba ufafanuzi wa kina kuhusu nadharia nzima ya kujivua gamba, ni kweli usiopindika umekubali majukumu yaliyokuzidi umri. Binafsi ni mwanaccm ambaye aidha siridhishwi na sina imani na safu nzima ya uongozi wa juu ccm hususani mwenyekiti si tu ameonesha hana uwezo kuongoza bali hana hata chembe za busara, kwa ujumla uongozi wake ni dhaifu na ndio chanzo cha mipasuko ndani ya chama. CCM imepoteza dira ya uongozi na tumefikia hatua ambayo hatujielewi tunafuata sera zipi. Mwenyekiti amekiweka chama chetu kitukufu kwenye wakati mgumu nachelea kumwita Raisi kwasababu siamini kama alishinda uchaguzi. Kashfa nyingi za ubadhirifu wa mali ya umma jina la mwenyekiti ama familia yake limo, yeye binafsi ukaribu wake na Rostam na Lowasa umelenga zaidi kwenye ufisadi na si kisiasa. Tukirejea kwenye hadidu za kujivua gamba, mwenyekiti ni mchafu kama walivyo mafisadi wengine HILI GAMBA NA YEYE ATAJIVUA? Nadhani ingekuwa vyema umshauri mwenyekiti kama anataka kukinusuru chama arudi tena kwa wanaccm kwenye ngazi ya matawi tumueleze ukweli, vikao vya NEC na CC haviwezi kuinusuru CCM haviwakilishi maoni ya wanaccm wa kawaida ambao ndio wapiga kura , nadhani hata wewe mwenyewe unajionea kwenye ziara yako mikoani jinsi gani CCM ilivyopoteza mvuto. Inaeleweka wazi mwenyekiti hawezi kuwakabili watanzania kwa mikutano ya hadhara lakini hana sababu ya kutuogopa wanaccm. Ushauri wa ziada mnapokwenda mikoani acheni upuuzi wa kugawa kanga na kofia mwageni sera za maendeleo na wapeni maendeleo wananchi ili waweze kujinunulia kanga wenyewe na kile ambacho mwenyekiti aliahidi wakati wa kampeni fuatilieni utekelezaji wake. Mwisho unapokuja jamvini huna sababu kujitetea na CCJ huo ulikuwa uamuzi wako binafsi baada ya kupima marefu na mapana uliamua kubaki CCM, Mpendazoe atajijibu mwenyewe hatuumizi kichwa.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Nimeamua kuja mwenyewe. Nashangaa wakati mwingine maana ni hapa ndo watu walisema Nape kashazibwa mdomo kama vile yale ni maamuzi ya Nape binafsi.
Jana nimewakumbusha tu watuhumiwa na wapambe wao si busara kujifariji kuwa maamuzi yatabadilishwa nje ya vikao, na vikao vyenyewe ni lazima iwe ama NEC au Mkutano Mkuu(Congres) na si vinginevyo.
Kuna hoja hapa eti kwamba Nape anabwabwaja tu, hakuna vitendo, let's be objective,hivyo vitendo ni vipi? Taarifa ya utekelezaji wa maamuzi haya itatolewa kwenye kikao kijacho cha NEC na si siku 90 kama wanavyojaribu kueleza hapa. Tumelieleza sana hili la siku,WAANDISHI TENA BAADHI ndo walitafsiri siku tisini kutoka kwenye ratiba ya vikao vya NEC ambavyo Dodoma tulikubaliana tentively tunaweza kukutana July ndo wakahesabu na kusema siku tisini. Lakini hakuna kikao kinakutana exactly kwa muda ulopangwa,kuna flexibility.
Ushauri subirini NEC ikutane mtuseme tukishindwa kufukuza.

Karibu JF
 
Na hili la je ni hawa tu? Kilichoamuliwa HII VUA GAMBA NI SAWA na KUOGA lazima unaanzia mahali na mara nyingi ni kichwani,lakini imelenga kushughulikia wale wote wanaokiuka maadili ya chama ambayo yako wazi sana tu

Nape,

Ushauri wangu kwenu. Serikali imejaa watendaji wababaishaji weeengi mno! Wekeni watu wenye uwezo wa kufanya kazi, si kwa kujuana. Namfahamu mtu anaeona aibu hata kutuambia sisi classmates wake kuwa amekuwa Chief Accountant wa Wizara. Anajua tunamfahamu vilivyo - na hakuna possibility eti kabadilika. Nchi kamwe haiwezi kuendelea kwa mtindo huu, hata mkijivua ngozi achilia mbali magamba.

Prove us wrong!
 
Nimeamua kuja mwenyewe. Nashangaa wakati mwingine maana ni hapa ndo watu walisema Nape kashazibwa mdomo kama vile yale ni maamuzi ya Nape binafsi.

Jana nimewakumbusha tu watuhumiwa na wapambe wao si busara kujifariji kuwa maamuzi yatabadilishwa nje ya vikao, na vikao vyenyewe ni lazima iwe ama NEC au Mkutano Mkuu(Congres) na si vinginevyo.

Kuna hoja hapa eti kwamba Nape anabwabwaja tu, hakuna vitendo, let's be objective, hivyo vitendo ni vipi? Taarifa ya utekelezaji wa maamuzi haya itatolewa kwenye kikao kijacho cha NEC na si siku 90 kama wanavyojaribu kueleza hapa.

Tumelieleza sana hili la siku,WAANDISHI TENA BAADHI ndo walitafsiri siku tisini kutoka kwenye ratiba ya vikao vya NEC ambavyo Dodoma tulikubaliana tentively tunaweza kukutana July ndo wakahesabu na kusema siku tisini. Lakini hakuna kikao kinakutana exactly kwa muda ulopangwa,kuna flexibility.

Ushauri subirini NEC ikutane mtuseme tukishindwa kufukuza.

Nape, sitaki wala sitajaribu kuutilia shaka uwezo na upeo wako wa kupambanua siasa za Tanzania na haswa za ndani ya CCM. Hata hivyo, nataka kutilia shaka kauli zako hapo juu, hususani zilizokolezwa na rangi nyekundu.

1. Kauli ya kwanza kuhusu "...maamuzi kubadilishwa nje ya vikao...", inaashiria yale ambayo wengi hapa tumekuwa tukisema kuwa maamuzi ya kikao kilichopita yameelekea kubadilishwa na sasa hayatekelezeki. Kwa kauli yako, unajaribu tu kutetea kuwa ni kinyume kwa maamuzi kubadilishwa nje ya vikao, lakini hausemi wazi kuwa maamuzi ya awali hayajabadilishwa na yanasimama jinsi yalivyo. Yamkini hata hausemi ni maamuzi gani hayo unayozungumzia hapa.

Katibu Mkuu Mukama alikwenda mbele ya vyombo vya habari na kusema mengi, lakini nukuu moja ni kuwa "..hakukua na uamuzi au azimio lolote la kuwafukuza.....". Kama ambavyo yeye na wewe hamutaji nani anafukuzwa au la, je ni vipi umma utajua uamuzi huo ni ndiyo au siyo.

2. Vitendo vinavyoongelewa hapa ni vile ambavyo wewe mwenyewe ulijiwekea mipaka. Umenukuliwa mara kadhaa na vyombo mbalimbali ukitoa kauli kuwa "...barua zao ziko tayari na zitatolewa hivi karibuni...". Yamkini ulienda mbali na kusema kuwa zitatotelewa baada ya Pasaka, hata kutaja siku kuwa ni jumatano baada ya Pasaka.

Labda kwa kuwa hukuwa makini na kusema ni jumatano ipi baada ya Pasaka, na kwa kuwa sasa unasema kuwa kikao ni July, basi pengine tuendelee kubuni kuwa itakuwa mojawapo kati ya hizi jumatano nyingi kati ya wakati huu hadi July.

Pungufu ya hayo, nikuelekeze tu kuwa kauli zako zina walakini au upungufu wa 'vitendo' hivyo.

3. Unaposema "...subirini NEC ikutane mtuseme tukishindwa ku(m/wa)fukuza", nachelea kuona kuwa hii ni njia nyingine ya kujaribu kutafuta pa kutokea.

Mosi, hakuna hata siku moja CCM kwa uwazi au usiri imewahi kutamka kuwa kuna mafisadi ndani ya CCM na majina yao ni haya. Hakuna, kama ipo nikumbushe mdogo wangu. Chadema imetangaza orodha ya mafisadi hadharani Mwembeyanga (2006) na Tabora (2011). Baadhi ya hao waliotajwa na Chadema ni viongozi ndani ya CCM na wengine ni watendaji ndani ya Serikali ya CCM, na wengine ni wafanya biashara wenye ukaribu na CCM.

Sasa ni akina nani mta(m/wa)fukuza na kwa vigezo vipi, umma hautaweza kupima usahihi wa huo uamuzi wenu.

Pili, mnaposema kuwa CCM NEC inawapa nafasi wajitoe wenyewe la hasha w/atafukuzwa, ina maana kuwa kwa undani fulani huyo mtu au watu tayari wamejulishwa kwa njia moja au nyingine, vinginevyo inaamaanisha kuwa vikao vya CCM vinategemea tu 'hisia' za hao watuhumiwa kujichukulia hatua wenyewe. Hapo sioni umakini wa taasisi kubwa kama CCM kutumia mbinu za Abunuwasi kuwa wezi wa pamba utawajua tu maana wana nyuzi kwenye videvu vyao.

Kama wapo wataje, si umesema vikao vimeamua, na kama hawapo basi jaribu hata kuwa shujaa wa uongo na kusema kuwa hamuwajui ila vile vile hamkubaliani na wale waliotajwa na Chadema.

July ikitokea mkafukuza mwenyekiti wa kijiji huko Nkasi au Mfaranyaki kwa madai ya ufisadi, msitegemee kuwa mtageuka na kujigamba kuwa mmejivua gamba. Umma utacheka, lakini hautacheka nanyi, bali utawacheka nyinyi.

Zidumu Fikra Za Mwenyekiti.
 
Nimeamua kuja mwenyewe. Nashangaa wakati mwingine maana ni hapa ndo watu walisema Nape kashazibwa mdomo kama vile yale ni maamuzi ya Nape binafsi.<br />
Jana nimewakumbusha tu watuhumiwa na wapambe wao si busara kujifariji kuwa maamuzi yatabadilishwa nje ya vikao, na vikao vyenyewe ni lazima iwe ama NEC au Mkutano Mkuu(Congres) na si vinginevyo.<br />
Kuna hoja hapa eti kwamba Nape anabwabwaja tu, hakuna vitendo, let's be objective,hivyo vitendo ni vipi? Taarifa ya utekelezaji wa maamuzi haya itatolewa kwenye kikao kijacho cha NEC na si siku 90 kama wanavyojaribu kueleza hapa. Tumelieleza sana hili la siku,WAANDISHI TENA BAADHI ndo walitafsiri siku tisini kutoka kwenye ratiba ya vikao vya NEC ambavyo Dodoma tulikubaliana tentively tunaweza kukutana July ndo wakahesabu na kusema siku tisini. Lakini hakuna kikao kinakutana exactly kwa muda ulopangwa,kuna flexibility.<br />
Ushauri subirini NEC ikutane mtuseme tukishindwa kufukuza.
<br />

Mmh! Kama kweli huyu ndio mkuu wa propaganda za CCM. Majibu yako hayana mantiki yoyote. Wewe ndo ulitwambia barua zinapelekwa baada ya sikukuu ya Pasaka. Akili yako bado ndogo kabisa kijana unaangukia pua! Kwanini unapata kigugumizi cha kutaja mafisadi kwa majina yao? Siunatamba utawafukuza. Embu tuondolee upuuzi wako, nenda kadanganye unaowagawia nguo ili wakusikilize. Bora uanze kutafuta kazi nyingine ili utapoamka ujisitiri.
 
Nimeamua kuja mwenyewe. Nashangaa wakati mwingine maana ni hapa ndo watu walisema Nape kashazibwa mdomo kama vile yale ni maamuzi ya Nape binafsi.
Jana nimewakumbusha tu watuhumiwa na wapambe wao si busara kujifariji kuwa maamuzi yatabadilishwa nje ya vikao, na vikao vyenyewe ni lazima iwe ama NEC au Mkutano Mkuu(Congres) na si vinginevyo.
Kuna hoja hapa eti kwamba Nape anabwabwaja tu, hakuna vitendo, let's be objective,hivyo vitendo ni vipi? Taarifa ya utekelezaji wa maamuzi haya itatolewa kwenye kikao kijacho cha NEC na si siku 90 kama wanavyojaribu kueleza hapa. Tumelieleza sana hili la siku,WAANDISHI TENA BAADHI ndo walitafsiri siku tisini kutoka kwenye ratiba ya vikao vya NEC ambavyo Dodoma tulikubaliana tentively tunaweza kukutana July ndo wakahesabu na kusema siku tisini. Lakini hakuna kikao kinakutana exactly kwa muda ulopangwa,kuna flexibility.
Ushauri subirini NEC ikutane mtuseme tukishindwa kufukuza.

- Saafi sana, Mkuu wa Dunia kama mwenyewe JF idumu sana!, Mheshimwia karibu sana kila unapopata nafasi turekebishane Uwanja Wa Damu!

Es!
 
Back
Top Bottom