Tena Mzee Yusuph Makamba na Kinana huyu wanayemsifia ndio walikuwa wapinzani wakubwa sana elimu kutolewa bureDr. Slaa alisema elimu bure Tanzania na wengi walimbeza. Wengi wetu pia tumesoma mpaka Masters degree bure, sasa ndio wanakubaliana naye?
Ameyasema hayo wakati akitoa hotuba katika kongamano la uhuru Udsm. Na akakiri kuwa tuna wazee wengi ambao walisoma bure na iliwezekana ni kwa nini isiwezekane?
Anakwenda kinyume kabisa na ilani ya chama chake kilchompa ubunge Bumbuli - anatakiwa achukuliwe hatua ndani ya chamaAmeyasema hayo wakati akitoa hotuba katika kongamano la uhuru Udsm. Na akakiri kuwa tuna wazee wengi ambao walisoma bure na iliwezekana ni kwa nini isiwezekane?