TANZIA: Mbunge wa zamani na Mwenyekiti wa SSRA Siraju Kaboyonga afariki Dunia

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Juma-Siraju-Kaboyonga-248x300.jpg
Mbunge wa zamani wa Tabora Mjini, Siraju Kaboyonga amefariki Dunia usiku huu jijini Dar es Salaam.

kaboyonga.jpg
Kaboyonga ambaye ni Mwenyekiti WA SSRA anatarajiwa kuzikwa Dar Alhamis katika makaburi ya Kisutu.

Inna Lilah WA Inna Ilaihu Rajiun
 
Naiombea familia yake ndugu na jamaa faraja katika kipindi hiki kigumu cha msiba mzito hivi. Mungu ailaze pema pepono roho ya Marehemu Siraju Kaboyonga. Amin
 
acheni uhuni bana, kamzikeni hukohuko miembeni Tabora
Mbunge wa zzamani wa Tabora Mjini, Siraju Kaboyonga amefariki Dunia usiku huu jijini Dar es Salaam. Kaboyonga ambaye ni Mwenyekiti WA SSRA anatarajiwa kuzikwa Dar Alhamis katika makaburi ya Kisutu. Inna Lilah WA Inna Ilaihu Rajiun
 
Mara ya mwisho nlimuona ktk interview ya EALA bungeni akiwa ktk kagari ka walemavu ila akasema 'NIPO fit'R.I.P kaboyonga
 
  • Thanks
Reactions: SMU
R. I. P. Hii SSRA imenitesa sana, kumbe yeye ndo alikuwa behind the saga! R. I. P
 
R.I.P Ndugu Siraju Kaboyonga. Pole za dhati kwa wafiwa wote, familia, ndugu, jama n marafiki kwa msiba na Mungu awatie nguvu na moyo wa subira, wakati huu wa majonzi mazito ya kuondokewa na mpendwa wao.

Ulitimiza wajibu wako...utakumbukwa kwa michango yako katika sekta ya uchumi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom