Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,301
Ndugu wana jf,leo nmekaribishwa hapa Tumaini University kuna mdahalo kuhusiana na mapungufu yalipo katika sheria ya uundwaji wa katiba mpya kama ilvo rekebishwa mwaka 2012.
Nawakaribisha kwa yoyote mwenye dukuduku kuhusiana na hiyo sheria,nategemea kuwakilisha jf kwa uzuri kabisa.
Karibuni.
Nawakaribisha kwa yoyote mwenye dukuduku kuhusiana na hiyo sheria,nategemea kuwakilisha jf kwa uzuri kabisa.
Karibuni.