VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Kila penye Jimbo ambalo hakukuwa na upinzani kwa CCM,Serikali iligawanya Jimbo husika ili kuongeza nafasi za 'ajira' na idadi ya Wabunge wa kutajataja-sisi tuna wabunge mia moja na...
Mfano, Jimbo la Bagamoyo lililokuwa chini ya Jakaya Kikwete aliyekuwa hana mpinzani kama wagombea wa TANU,liligawanywa kuwa Chalinze na Bagamoyo. Pia Jimbo la Kibaha liligawanywa kuwa Kibaha Mjini na Kibaha Vijijini. Ipo mifano mingine mingi.Hata jimbo la (Temeke?) limezaa Ukonga na Segerea.
Sasa wakati umefika kwa majimbo ya Arusha Mjini,Mbeya Mjini,Iringa Mjini,Musoma Mjini,Ubungo na Kawe kugawanywa.Yote ni makubwa kama yaliyokwisha kugawanywa.Yote yana idadi kubwa ya wananchi wapiga kura. Muda ni huu