Pinda na umiliki wa Sumry Express

Pinda na umiliki wa Sumry Express

Status
Not open for further replies.

franktemu123

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
1,406
Reaction score
1,481
Wanajmvi huyu jamaa kwa nje anaonekana msafi kiundani ni mchafu kupitiliza toka aukwae u-PM amekomaa kuchota pesa zetu na kuzipeleka kwenye SUMRY EXPRESS na sasa wameona kama wanashtukiwa wamenunua kampuni ya MBEYA EXPRESS kupotezea.

Hebu cheki ule Uwanja wa ndege MPANDA ulivyotengenezwa fasta. Pia, alitaka Yambesi awe Katibu mkuu kiongozi kwa sababu wanatoka wote RUKWA mzee Luhanjo akamzidi kete kwa kumpendekeza best yake mzee OMBENI. Kuweni makini na huyu mtu nje anajifanya anamwaga chozi kumbe fisadi kiaina.

Zaidi anajidai anapigia debe kilimo kwanza kumbe ndo anapofisadi kuanzia Matreka,Mbolea etc.......MKUU TUMEKUSHTUKIA
 
Wanajmvi huyu jamaa kwa nje anaonekana msafi kiundani ni mchafu kupitiliza toka aukwae u-PM amekomaa kuchota pesa zetu na kuzipeleka kwenye SUMRY EXPRESS na sasa wameona kama wanashtukiwa wamenunua kampuni ya MBEYA EXPRESS kupotezea. Hebu cheki ule Uwanja wa ndege MPANDA ulivyotengenezwa fasta. Pia, alitaka Yambesi awe Katibu mkuu kiongozi kwa sababu wanatoka wote RUKWA mzee Luhanjo akamzidi kete kwa kumpendekeza best yake mzee OMBENI. Kuweni makini na huyu mtu nje anajifanya anamwaga chozi kumbe fisadi kiaina. Zaidi anajidai anapigia debe kilimo kwanza kumbe ndo anapofisadi kuanzia Matreka,Mbolea etc.......MKUU TUMEKUSHTUKIA

Laiti majungu yangekua mtaji...!
 
Bila shaka umetumwa na yule bwana aliejiuzulu. Poleni sana kwa jitihada zenu za kupakaa maji taka kila mtu.
 
inawezekana vipi bila ushahidi kaka, mbona mpika majungu ivo wewe??? administrator unaachaje wapika majungu kutawala JF badala ya great thinkers??? Fanyia kazi hii.
 
tumesubu,
tumeweza na
tunasonga mbelee
umenikumbusha kitu hiki
 
Eti ni kweli mwenyekiti wenu anamiliki ile night club ya kuharibu maadili ya watanzania
 
Samahani, hivi Yule bibi kiroboto kule mjengoni anadaiwa kumiliki mabasi gani vile? Naomba kukumbushwa
 
Wadau mnataka evidence ya Risiti/Mkataba ulioandikwa jina/saini yake au? yaani unafikiri yeye ni mjinga kiasi hicho? lengo la kuandika hapa ni watu wajue na wenye uwezo wa kuchimba zaidi afanye hivyo usitegemee mtu mmoja awe na habari complete. uliona wapi hiyo. Sijatumwa na mtu mimi ni mwananchi mwenye uchungu na nchi yangu na jinsi pesa/rasilimali zinavyoliwa na wajanja wachache
 
Mwana JF bila ushahidi humu tunaona ni majungu tu, ndio maana wadau tunakwambia ulete ushahidi kama huna basi habari yako ni porojo.
 
We kenge kweli! Kwani nani amekwambia sifa ya uongozi bora ni kuwa masikini...kama amepata kiuhalali wewe inakuuma nini?
 
[QKwa hili ulitaka nije na ushahidi gani Mkuu? labda unisaidie huenda mimi sijui!!! Hivi unaweza kupata usahidi wa kung'amua uozo wa PM aliye madarakani ukiwa mwananchi wa kawaida kama mimi... Nia yangu kuandika hapa ni kuwaahabarisha wenye uwezo kunizidi(esp. wabunge baadhi CCM na upinzani kupekua zaidi kule TRA na kwenye Benki akaunti za SUMRY kujua ukweli zaidi PCCB wafanye uchunguzi otherwise waTZ mkizidi kulalama bila kuchukua hatua mtaendelea kutozwa kodi kibao kila sehemu kuanzia kwenye mishahara yenu (PAYE), kwenye mafuta(road fund), kwenye bidhaa ndogo ndogo mnazonunua.
POINT YANGU hapa ni kuwa viongozi wasiwe wanafiki kujidai wanataka kutenganisha biashara na siasa huo niliokupa ni mfano wa Kiongozi aliye madarakani na ni mfanyabiashara nguli alizopata kwa jasho la watanzania.huku akituabia benki ana milioni 25 (Tsh.) tu ambazo kwa sasa huwezi kupata TOYOTA COASTER ya mtumba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom