Dr Slaa azidi kuitia kiwewe CCM

M

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
13,355
Points
2,000
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
13,355 2,000
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amezidi kukiweka katika wakati mgumu chama cha CCM na chama hicho kinahofia kuondolewa madarakani katika uchaguzi mkuu ujao.

Utafiti uliofanywa na gazeti la Tanzania Daima Jumapili unaonyesha kwamba CCM inapata kiwewe kila inaposikia jina la Dr Slaa likitajwa.Hiyo ndiyo sababu CCM kupitia katibu wa Itikadi na uenezi Nape Nnauye inawatumia vijana waliofukuzwa CHADEMA kuitisha mikutano ya waandishi na kunchafua Dr Slaa.

Sasa ni rasmi kuwa kuna fedha za mafisadi zimetengwa ambazo ni maalum kumchafua Dr Slaa.Inadaiwa mpango huo unaratibiwa vyema na Nape Nnauye ambaye alikosa doa lolote la kumchafua Dr Slaa ikabidi aibuke na hoja ya kipumbavu ya Kadi ya CCM ya Dr Slaa.

Hata hivyo uchunguzi zaidi unaonyesha Dr Slaa amezidi kung'ara na mpango huu wa Nape Nnauye umeshindwa mapema kwani amepotea njia kuwatumia vijana waliofukuzwa CHADEMA.Dr Slaa kwa sasa amezidi kupendwa na kuungwa mkono ndani na nje ya chama chake kwa kile kinachofahamika kwamba anayeandamwa sana na CCM ndiye mpinzani wa kweli.

Pia mpango huu wa Nape na Mafisadi unashirikisha magazeti kadhaa kupamba kurasa za mbele za magazeti yao kwamba CHADEMA kuna migogoro.

Source:Tanzania Daima Jumapili.
 
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
4,698
Points
2,000
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
4,698 2,000
Tuacheni utani Slaa ni kiboko yaani ni kama anaimaliza ccm. Kikosi chote cha ccm kinamgwaya unganisha nape kinana mwigulu na mafisadi wote wanamuogopa.
Nape unapanda chat sababu ya CHADEMA NA SLAA WAKIPOTEA HAO WEWE PIA UTAPOTEA NA UMAARUFU WAKO UTASHUKA.
 
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Messages
11,349
Points
2,000
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2012
11,349 2,000
Dr.Slaa is our chief hero jemedari, Magamba wajipange kwa sana.............!
 
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Messages
10,569
Points
1,250
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2008
10,569 1,250
Nape atafute kazi nyingine ya kufanya kwakuwa uenezi umemshinda na majungu yamemshinda.
Wakati wao wanatumia fedha nyingi kutaka kumchafua Dr. Slaa mambo yamekuwa tofauti kwani watanzania toka kona zote za nchi wamezidi kumuunga mkono.
Na hata nchi za nje wameendelea kumfuatilia na kummulika kiasi cha CNN kurusha documentary inayomtaja kama kiongozi shupavu wa upinzani nchini Tanzania aliyeilazimisha serikali kubadili mfumo wa uendeshaji wake, hasa uwezo wake wa kupata nyaraka za siri za ufisadi.
 
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined
Jun 4, 2011
Messages
6,431
Points
2,000
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined Jun 4, 2011
6,431 2,000
Hizi siasa wanazo Fanya CCM hazifanywi mahali popote pale Duninian, yaani zinafanywa na CCM pekee, hizi ni saisa za Ajabu za kutumia fedha za walipa Kodi zilizo ibwa na kuzitumia kuwahonga, watu, Nenda Kenya nenda Uganda hakuna Siasa za aina hiyo kabisa
 
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Messages
11,349
Points
2,000
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2012
11,349 2,000
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amezidi kukiweka katika wakati mgumu chama cha CCM na chama hicho kinahofia kuondolewa madarakani katika uchaguzi mkuu ujao.

Utafiti uliofanywa na gazeti la Tanzania Daima Jumapili unaonyesha kwamba CCM inapata kiwewe kila inaposikia jina la Dr Slaa likitajwa.Hiyo ndiyo sababu CCM kupitia katibu wa Itikadi na uenezi Nape Nnauye inawatumia vijana waliofukuzwa CHADEMA kuitisha mikutano ya waandishi na kunchafua Dr Slaa.

Sasa ni rasmi kuwa kuna fedha za mafisadi zimetengwa ambazo ni maalum kumchafua Dr Slaa.Inadaiwa mpango huo unaratibiwa vyema na Nape Nnauye ambaye alikosa doa lolote la kumchafua Dr Slaa ikabidi aibuke na hoja ya kipumbavu ya Kadi ya CCM ya Dr Slaa.

Hata hivyo uchunguzi zaidi unaonyesha Dr Slaa amezidi kung'ara na mpango huu wa Nape Nnauye umeshindwa mapema kwani amepotea njia kuwatumia vijana waliofukuzwa CHADEMA.Dr Slaa kwa sasa amezidi kupendwa na kuungwa mkono ndani ya chama chake kwa kile kinachofahamika kwamba anayeandamwa sana na CCM ndiye mpinzani wa kweli.

Pia mpango huu wa Nape na Mafisadi unashirikisha magazeti kadhaa kupamba kurasa za mbele za magazeti yao kwamba CHADEMA kuna migogoro.

Source:Tanzania Daima Jumapili.
Wale mamluki na magamba mwaka huu watakufa kwa ptesha ya Dr.
 
Wale mamluki na magamba mwaka huu watakufa kwa presha ya Dr.
 
Imany John

Imany John

Verified Member
Joined
Jul 30, 2011
Messages
2,873
Points
1,500
Age
38
Imany John

Imany John

Verified Member
Joined Jul 30, 2011
2,873 1,500
Sure. Nape nilimwambia hili swala humu jf, akawa anataka kukazia,sasa katibu mwenezi anaeneza propaganda kwa siku 4. Halafu anaziacha hewani, cdm wanaikosoa kwa hoja mahususi then ccm wanaona wapo watupu kama walivyozaliwa.
 
Ronal Reagan

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
4,837
Points
2,000
Ronal Reagan

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
4,837 2,000
Kwa sasa hivi kila kitu kinachomhusu Dr. ni news, big news actually.

Na kwa vile siasa za CCM ni za enzi za ujima na zinathihirisha tena na tena kuwa Tanzania inamhitaji sana Dr. Slaa - talking of the ideal-match.
 
Imany John

Imany John

Verified Member
Joined
Jul 30, 2011
Messages
2,873
Points
1,500
Age
38
Imany John

Imany John

Verified Member
Joined Jul 30, 2011
2,873 1,500
Nape atafute kazi nyingine ya kufanya kwakuwa uenezi umemshinda na majungu yamemshinda.
Wakati wao wanatumia fedha nyingi kutaka kumchafua Dr. Slaa mambo yamekuwa tofauti kwani watanzania toka kona zote za nchi wamezidi kumuunga mkono.
Na hata nchi za nje wameendelea kumfuatilia na kummulika kiasi cha CNN kurusha documentary inayomtaja kama kiongozi shupavu wa upinzani nchini Tanzania aliyeilazimisha serikali kubadili mfumo wa uendeshaji wake, hasa uwezo wake wa kupata nyaraka za siri za ufisadi.
hayo uyasemayo wenzako hawayaelewi,nawasiwasi nape kuja na press kuwapondea CNN.

CCM you will never get a second chance to make a good first impresion
 
Ringo Edmund

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Messages
4,891
Points
0
Ringo Edmund

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined May 10, 2010
4,891 0
CCM ni kama beki ya toto african inayopanga kumkaba messi.
 
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
13,355
Points
2,000
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
13,355 2,000
Tuacheni utani Slaa ni kiboko yaani ni kama anaimaliza ccm. Kikosi chote cha ccm kinamgwaya unganisha nape kinana mwigulu na mafisadi wote wanamuogopa.
Nape unapanda chat sababu ya CHADEMA NA SLAA WAKIPOTEA HAO WEWE PIA UTAPOTEA NA UMAARUFU WAKO UTASHUKA.
Mkuu babalao ukisikiliza mikutano ya CCM Dr Slaa anatajwa kila baada ya dakika moja.Hakika wanatapatapa kupita maelezo.
 
Last edited by a moderator:
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,993
Points
1,500
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,993 1,500
hivi Nnauye Jr ni akili yake kweli kutumia hoja za kipumbavu za kadi?
ninavyojua kadi huwa ina expire baada ya mwaka moja mtu asipoi update.
 
Last edited by a moderator:
Imany John

Imany John

Verified Member
Joined
Jul 30, 2011
Messages
2,873
Points
1,500
Age
38
Imany John

Imany John

Verified Member
Joined Jul 30, 2011
2,873 1,500
Dr slaa limekua jina la kutolea mapepo ccm.

Kama jina la bwana ..... Kwa wakristo.
 
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
13,355
Points
2,000
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
13,355 2,000
Nape atafute kazi nyingine ya kufanya kwakuwa uenezi umemshinda na majungu yamemshinda.
Wakati wao wanatumia fedha nyingi kutaka kumchafua Dr. Slaa mambo yamekuwa tofauti kwani watanzania toka kona zote za nchi wamezidi kumuunga mkono.
Na hata nchi za nje wameendelea kumfuatilia na kummulika kiasi cha CNN kurusha documentary inayomtaja kama kiongozi shupavu wa upinzani nchini Tanzania aliyeilazimisha serikali kubadili mfumo wa uendeshaji wake, hasa uwezo wake wa kupata nyaraka za siri za ufisadi.
Mkuu mwita CCM wamechanganyikiwa baada ya kuona ile documentary ya CNN imkimpaisha Dr Slaa.
 
Last edited by a moderator:
S

Seif al Islam

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Messages
2,158
Points
1,250
S

Seif al Islam

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2011
2,158 1,250
mtu anapokufa huwa anatuptupa miguu.nape na ccm wanakufa hivyo waachwe warushe miguu wakimaliza watakata roho.
 
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
13,355
Points
2,000
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
13,355 2,000
Dr.Slaa is our chief hero jemedari, Magamba wajipange kwa sana.............!
Mkuu Shardcole Magamba wakisikia jina la Dr Slaa wanatetemeka kama wachawi.
 
Last edited by a moderator:
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
13,355
Points
2,000
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
13,355 2,000
Hizi siasa wanazo Fanya CCM hazifanywi mahali popote pale Duninian, yaani zinafanywa na CCM pekee, hizi ni saisa za Ajabu za kutumia fedha za walipa Kodi zilizo ibwa na kuzitumia kuwahonga, watu, Nenda Kenya nenda Uganda hakuna Siasa za aina hiyo kabisa
Mkuu chasa siasa za Magamba ni sawa na siasa za kichawi.
 
Last edited by a moderator:
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
15,275
Points
2,000
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
15,275 2,000

...Sasa ni rasmi kuwa kuna fedha za mafisadi zimetengwa ambazo ni maalum kumchafua Dr Slaa.Inadaiwa mpango huo unaratibiwa vyema na Nape Nnauye ambaye alikosa doa lolote la kumchafua Dr Slaa ikabidi aibuke na hoja ya kipumbavu ya Kadi ya CCM ya Dr Slaa.....

.....Fedha wanazotumia hao mafisadi ni kodi zetu wanazitumia kudidimiza mapambano yetu ya kudai HAKI dhidi ya Udhalimu..way forward....nguvu ya umma ITUMIKE!!!!!

...kwaatarifa yenu..... hampambani na DR SLAA bali.... mmeanzisha mapambano rasmi...... dhidi ya WANYONGE..(peoples power)
 
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
13,355
Points
2,000
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
13,355 2,000
Sure. Nape nilimwambia hili swala humu jf, akawa anataka kukazia,sasa katibu mwenezi anaeneza propaganda kwa siku 4. Halafu anaziacha hewani, cdm wanaikosoa kwa hoja mahususi then ccm wanaona wapo watupu kama walivyozaliwa.
Mkuu Imany John hizi siasa za Nape ndiyo zitamuangamiza mwenyewe kisiasa.
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,284,537
Members 494,169
Posts 30,830,983
Top