DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,986
- 3,151
Wana Jf kuna kile kinachoonekana kama maazimio ya CCM kwenye kikao chao kilichopita huko Dodoma, maazimio hayo yanaonekana kuwa ni mengi lakin binafsi nayaona makubwa hasa mawili kwa sasa, mosi, kuua upinzani hasa CHADEMA na kuwaeleza wananchi mafanikio ya ccm hadi sasa kwa kupitia majukwaa na vyombo vy habari.La mjadara hasa hapa ni hili la kutueleza mafanikio ya CCM, kwangu hili lina maswali mengi kama sio mjadara kwani yale Lukuvi imekuwa akisema kupitia vyombo vya habari hasa TV inatupa picha ni nini hasa wanakwenda kuongelea, kwa mfano ujenzi wa barabara, mikopo kwa wanayuo, uwepo wa shule za sekondari, na mengine mengi.
Watu wamekuwa wakijaribu kuhoji mamo hayo na mimi binafsi ningekutana nae leo ningemuuliza yafuatayo, nawe ongeza yako.
1. Miundombinu hiyo kama barabara zimejengwa kwa fedha kutoka wapi ni zinamsaidiaje maskini? au zinasaidia kusafirisha maliasili zetu kama wanyama na pembe za ndovu?
2. Wizi wa fedha za umma kwenye halmashauri na manispaa kama, kishapu, misungwi, kasulu je wahusika wamfanywa nini? na kama jibuni wamefukuzwa au wameshushwa vyeo je hizo ni adhabu za CCM kwa wezi wa mali za umma?
3. je ni hatua gani zimechukulkiwa kwa viongozi wezi hasa mawaziri waliopelekea kuvunjwa haba kwa mabaraza ya mawaziri kwenye uongozi wa kikwete? Kama vile Mustafa Mkulo, Maige, Lowasa, Chenge Nk.
Ongeza yako kwani najua unayo mengi.