watanzania tuwaangalie wenzetu wa kenya katika swala la uchaguzi

The speaker

Member
Jul 10, 2012
5
0
swala la mabadiliko ya katiba lipelekwe haraka ili kwamba uchaguzi ujao wa mwaka 2015 tuwe na katiba mpya itayotuletea tume huru ya uchaguzi na mabadiliko ya daftari la kudumu la kupiga kura, Tuchukue mfano kwa wenzetu wa kenya na jinsi mfumo wao wa usajili ulivyo ili kuepuka uchaguzi wa kikasuku ambao unajikita katika kukiridhisha chama tawala.
 
Back
Top Bottom