Kauli za wanasiasa wasio na Maadili zinaathari kubwa sana kwenye ustawi wa Taifa letu, Leo hii serikali imerudi nyuma kutengeneza miundombinu ambayo ilishamalizana nayo kitambo kwasababu ya kauli...
NO CASE TO ANSWER
kwa msaada wa AI
Wote tuliskilza ushahidi wa prosecution, je ulikidhi vigezo hivi kuruhusu kesi iendelee?
Katika kesi maarufu ya R v Galbraith (1981), mahakama ilitoa mwongozo...
Chini ya sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyeko madarakani hawezi kulazimishwa au kuitwa mahakamani kutoa ushahidi au kushtakiwa kwa sababu anapewa kinga kamili ya...
Kitendo cha Mbowe kuonekana pamoja na wauaji kwangu mimi nimekifurahia sana kwa sababu zifuatazo
1. Wanachama wa CHADEMA sasa wamethibitisha kuwa Mbowe ni msaliti wa mapambano ya haki na hayuko na...
Ni kupitia mtandao wa X ambapo Martin Maranja Masese ameandika makala ndefu akisikitishwa na ushiriki wa Mbowe kwenye huo uzinduzi.
Kwakweli ameandika kwa uchungu mkubwa na mwishoe kasema...
Nina mengi ya kuandika kabla ya saa 3 asubuh ya Leo ili andiko langu liingie kwenye rekodi.
Mtoto wa raisi ana nguvu Gani kwa kesi ya Lissu? Je Lissu kuwa huru Kuna madhala Gani kwake?
Mbona...
Na huyu si mwingine bali ni yule anaebariki Lissu kuteswa gerezani
Leo hii, mtu huyu akipewe option ya kupiga picha na Lissu au Papa wa Kanisa Katoliki, atachagua kupiga picha na Lissu ili tu...
Ewe mama Peter uliye square Energy is contagious Shakira anasema,Ni kweli mtu hutiwa moyo hata kuungishwa kwa kile anachokifanya kwa maslahi binafsi hata hayo ya kulijenga Taifa kama tu hakuna...
Mhandisi mkazi wa mradi wa JNHPP Rufiji maarufu Stiegler's Gorge amesema wanatumia upembuzi yakinifu wa mwaka 1980 na siyo upembuzi wa 1970. Pia design ya 2017 imefanya mabadiliko ya Upembuzi...
Binadamu tuna maneno sana. Lakini kati ya vitu vyote, Magufuli atakumbukwa kwa vizazi vingi vikavyo kwa kutekeleza mradi wa Umeme wa JK Nyerere Power plant kule Stieglers Gorge.
Huu mradi...
Makada watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefungua shauri katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma wakilalamikia kitendo cha kuvuliwa nafasi zao za uongozi kiholela na bila kupewa...
Idi Amini Dada
Mengistu Haile Mariamu
Bokasa
Habyarimana
Miçombero
Mobutu
Agusto Pinochet
Hitler
Historia ipo wazi sana….hao wote nimewataja Madikteta wa Kihistoria kupata kutokea katika Bara la...
Zile kamata kamata zisizo na kichwa wala miguu dhidi ya Tundu Lissu na zile kesi uchwara zote zilizofunguliwa dhidi yake naamini ndizo zilizompandisha chati huyo bwana katika huu utawala wa awamu...
Viongozi wa dini wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi mbalimbali zinazotekelezwa na Serikali, wakisema mafanikio hayo yanaonekana na kugusa maisha ya wananchi.
“Kazi umeifanya...
Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) na Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) limefikia maridhiano ya kumaliza tofauti za muda mrefu zilizotokana na mgawanyiko wa kihistoria wa...
Friends and Enemies,
Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha...
CCM imeshindikana,namaanisha imepokea Kila ushauri kutoka Kwa watu wa aina zote hapa duniani,lkn wameshindwa kuukubli.
Wameshindwa kuukubali kwa sababu Kila ushauri kwao utekelezaji wake ni moto...
Miaka mingi inaweza kupita kabla CCM haijarudia tena kumpa nafasi ya urais mtu kutoka Kanda ya Ziwa.
Watu wazito nchini kwa maana ya kwamba, Matajiri, Wenye ushawishi mkubwa ndani ya chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.