Katambi: Leteni majina wanaoandika uchochezi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,226
Reaction score
17,975
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema serikali itaendelea kuwakamata na kuwachukulia hatua wote wanaotengeneza akaunti kwenye mitandao ya kijamii kisha kuzitumia kutukana na kudhalilisha watu na hasa viongozi.

Aidha, amesema kuna utumiaji wa Akili Unde kutengeneza video, sauti na picha zenye lengo la uchochezi na kwamba wananchi wanatakiwa kuwa makini wasisambaze, huku serikali ikiwasaka wanaoziunda kwa kuwa wana lengo la kuivuruga nchi.

"Nawataka wananchi tuandike taarifa za maoni na majina ya watu wanaoandika na kusambaza taarifa za uchochezi kwenye mitandao ya kijamii, ili tuchukue hatua kwa kuwa kuna watu wamezamia nchi nyingine wanafanyakazi ya uchochezi, "amesema Katambi ambaye pia ni Mbunge wa Shinyanga Mjini.

Aidha, amesema lazima Watanzania watambue kuwa kuna haki na wajibu, ila wengi wanazungunzia haki bila kuzungumzia wajibu wao kwenye nchi.

Aidha, aliwaomba wananchi kuwa wataulivu wakati serikali inachukua hatua dhidi ya watu wanaoleta uchochezi kwa lengo la kuchafua nchi, na kwamba nchi inaendeshwa kwa kuzingatia utawala wa sheria.

"Ushahid wa kwamba taifa liko salama ni miradi ya maendeleo inayotekelezwa, na tutahakikisha tunaendelea kuwa salama, "amesema.

Waziri Katambj ameyasema hayo leo Jijini Mwanza wakati wa Uzinduzi wa Meli ya MV Mwanza, uliofanywa na Waziri Mkuu, Dk. Lameck Nchemba.
 
Faki zati sonofabitch!
 
mitandao ya kijamii kisha kuzitumia kutukana na kudhalilisha watu na hasa viongozi.
vipi kuhusu habari za kudhalilisha watu, kwanini sheria ibague kuwalinda viongozi wa serikali ya chama dola kongwe tu.

Lakini habari za watu wa kawaida wizara haichukui juhudi kwa kiwango kilekile kukemea mbali ya kuchukua hatua.

ingekuwa vyema viongozi 'waliotukanwa' au 'kudhalilishwa' wao binafsi waende mahakamani kudai fidia badala ya kubebwa na vyombo vya dola kama polisi.

TOKA MAKTABA:

View: https://m.youtube.com/watch?v=zir8OHK3L3k
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema serikali itaendelea kuwakamata na kuwachukulia hatua wote wanaotengeneza akaunti kwenye mitandao ya kijamii kisha kuzitumia kutukana na kudhalilisha watu na hasa viongozi.

Aidha, amesema kuna utumiaji wa Akili Unde kutengeneza video, sauti na picha zenye lengo la uchochezi na kwamba wananchi wanatakiwa kuwa makini wasisambaze, huku serikali ikiwasaka wanaoziunda kwa kuwa wana lengo la kuivuruga nchi.

"Nawataka wananchi tuandike taarifa za maoni na majina ya watu wanaoandika na kusambaza taarifa za uchochezi kwenye mitandao ya kijamii, ili tuchukue hatua kwa kuwa kuna watu wamezamia nchi nyingine wanafanyakazi ya uchochezi, "amesema Katambi ambaye pia ni Mbunge wa Shinyanga Mjini.

Aidha, amesema lazima Watanzania watambue kuwa kuna haki na wajibu, ila wengi wanazungunzia haki bila kuzungumzia wajibu wao kwenye nchi.

Aidha, aliwaomba wananchi kuwa wataulivu wakati serikali inachukua hatua dhidi ya watu wanaoleta uchochezi kwa lengo la kuchafua nchi, na kwamba nchi inaendeshwa kwa kuzingatia utawala wa sheria.

"Ushahid wa kwamba taifa liko salama ni miradi ya maendeleo inayotekelezwa, na tutahakikisha tunaendelea kuwa salama, "amesema.

Waziri Katambj ameyasema hayo leo Jijini Mwanza wakati wa Uzinduzi wa Meli ya MV Mwanza, uliofanywa na Waziri Mkuu, Dk. Lameck Nchemba.
Natumaini anapozungumzia viongozi anamaanisha hata wale wa vyama vya upinzani. Na wana harakati.

Amandla...
 
Yeye ndiye anayechochea uchochezi. Hivi wale magundi VIYOYOZI NA NAJOKOVU waliomkamata Lissu wako likizo!?
 
Polisi wanafanya doria mtandaoni wapo likizo au wamebadilishiwa majukumu?
 
Anajisahau
Hawa ndio Magufuli aliwabatiza na kuwaita " WALIOKATWA MIKIA"! Yote hiyo sababu ya njaa. Hasa machawa wa Samia hata hawajui maana ya "UCHOCHEZI" ! Kwao mtu yeyote atakayeonesha mapungufu ya ccm na serikali yake ni mchochezi. Sasa wananchi hawana haki ya kusema yale ambayo hii serikali imeshindwa kuyatekeleza kwasababu ya matumizi mabaya ya kodi zao? Kuikosoa serikali sio uchochezi, na hili inabidi askari polisi wafundishwe kwani wanakamata na kuwatesa wananchi hovyo kwa kisingizio cha uchochezi!!
 
Akila na kuvimbiwa asitapike hovyo kwenye miguu ya wenye njaa.

Watu wasiokuwa na chembe ya uadilifu mioyoni mwao kama hawa hawana tofauti yoyote na malaya.

Bado hajatosheka na kuwaweka waTanzania wote kuwa mateka; sasa anataka wawekwe jela; anazo jela za kutosha?
 
Back
Top Bottom