Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeipenda makala ya Samson Mwigamba inayosema “CHADEMA ni mpango wa Mungu” katika makala hiyo pamoja na mambo mengine, mwandishi ameelezea mikakati ya chama katika mkoa wa Arusha katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sikiliza hotuba hii ya mwalimu J.K Nyerere,upate kujifunza mambo ya msingi ambayo Chama cha siasa,Serikali na Bunge linatakiwa kufanya ili kuleta maendeleo kwa wananchi,CHADEMA,CCM,CUF na vyama...
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Type Joint stock company (Government owned) Industry Diversified Investments Founded October 2002 Headquarters Abu Dhabi, United Arab Emirates Key people HH Sheikh Mohammed bin Zayed Al...
5 Reactions
202 Replies
23K Views
Tamko lililotolewa leo na jukwaa la wakristo nchini na reaction ya watanzania limenifanya nikumbuke utitiri wa matukio ambayo umma wa watanzania ulipaza sauti kutaka serikali ichukue hatua lakini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nani adui wa CCM? CHADEMA au ufisadi? Source: Msomaji Raia Raia Mwema - Nani adui wa CCM? CHADEMA au ufisadi? Toleo la 271 5 Dec 2012 HALI ya kisiasa nchini imetawaliwa na mijadala juu ya...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Udini ulikemewa sana na Mwl. Nyerere, CCM wakautumia kama mtaji wa kwenda Ikulu 2010, mwaka huu wamevuna walichopanda 2010. Nimemsikiliza mara nyingi Nape, sijaona kama analenga kudumisha uhai...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Bwana nape mjadala wa kadi ya CCM aliyonayo Dr.umechosha masikio ya watu na kutufanya tusahau kufikiria matatizo ya msingi ya taifa letu,badala yake tuijadili kadi. sasa basi naomba nikushauri...
8 Reactions
61 Replies
5K Views
Mh. Waziri wa kilimo, chakula na ushirika vijana jimboni kwako tumesubiri utekelezaji wa ahadi zako. Tafadhali tutembelee tuna kero nyingi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bonyeza vidio swahilivilla: Aliekuwa Mwenyekiti wa Tawi la Chadema DMV Kalley Pandukizi aongea kuhusu Tatizo la Zanzibar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mh Rashid Waziri wa Bandari wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Written by Ashakh (Kiongozi) // 26/12/2012 // Habari // 2 Comments na Hassan Ali, Zanzibar MELI za mitumba zilizotumika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Ilikuwa apambane na Yericko Nyerere, hali imekuwa tete kwa wafuasi na wanachama wa CCM hasa wanaofuatilia kupitia mtandao unaoongoza kwa kupendwa Tanzania "JamiiForums" Ni aibu ya kufungia mwaka.
2 Reactions
56 Replies
4K Views
Hivi katika hali ya kawaida ni sahihi kwa vyombo vya habari kuripoti kiasi cha malimbikizo ambayo mtu analipwa?Hivi hakuna athari yoyote ya kufichua hadharani malipo ambayo mtu anastahili au...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Juzi nimesikia Kagasheki hafahamu kwamba Nyarandu ana miliki kampuni ya Tours, sasa Jana nasikia KM hawezi toa maamuzi ya tukio la mzungu aliyekamatwa pale KIA akisafirisha nyara bila kibali...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Leo nilikuwa mahali nikiongea na wazee wawili, waliniambia kwamba Tanzania haitakuja kutawaliwa na chama kingine zaidi ya CCM. Je, haya mawazo wanatoa wapi? Inamaana CCM ni chama tawala cha...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kakita hali ya kuonesha namna baadhi ya viongozi wa juu wa CHADEMA walivyojipanga kufanya mchezo mchafu kinyume na demokrasia inavyotamka ndani ya chama kuelekea 2015 kwenye uchaguzi mkuu...
6 Reactions
317 Replies
21K Views
Heri ya Krismas wadau, Nimefuatilia kwa kina comments za wadau wa jukwaa hili kufuatia mwanajeshi aliyepiga picha na Lema kwenye mkutano wake pale Mererani. Katika mazingira ya kawaida tunaweza...
16 Reactions
66 Replies
6K Views
Hii ni video wakati CHADEMA wakimtangaza Dkt. Slaa kuwa mgombea wao wa urais mwaka 2010.Itazame kwa umakini sana na point of focus (PoF) iwe kwa Mbowe na Zitto Kabwe (zaidi huyu wa pili) then...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari Waungwana. Leo nilikuwa napitia Youtube, nikaona hii video hapa chini. Nimeona ni vema niweke link ili wote waone, wafikirie na watathmini matokeo ya kunyamazia mambo ya msingi kwa muda...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima..alidai...
13 Reactions
209 Replies
15K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa shilingi milioni 30 kuchangia mradi endelevu wa kulea na kuhifadhi mbwa mwitu waliokuwa wameanza kutoweka kabisa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom