Nini kinaendelea pale maliasili

Elam

Member
May 19, 2009
49
70
Juzi nimesikia Kagasheki hafahamu kwamba Nyarandu ana miliki kampuni ya Tours, sasa Jana nasikia KM hawezi toa maamuzi ya tukio la mzungu aliyekamatwa pale KIA akisafirisha nyara bila kibali maalum, kisa huyo mzungu ana fahamika kwa mh. Waziri,

Haijapita week Waziri wa Maliasili alinukuliwa na vyombo vya habari kupinga nakulaani hatua ya W. wa mazingira kufungia hoteli zinazo chafua mazingira kisa inawezekana interest na hao wamiliki wenye hoteli kwa kisingizio chakukosa pato la watalii, Huyu kagasheki, na KM Tirishi nadhani wangefanyiwa uchunguzi na vyombo vinavyo husika..maana namatumaini kuna mfumo mbovu ulio wekwa na unalindwa na hawa watu pale maliasili kwa personal interest.

Kuna mtu mmoja alinidokeza kwamba Kagasheki anatengeneza system ya chini chini kumfanikisha kupata uPM kama sio urais 2015, JE kuna mwenye more details concern this..afunguke tujue mapema..??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom