Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka huu tumefanikiwa sana katika kujibu hoja za kikundi cha Wazanzibari ambao wamekuwa wakitishia Zanzibar kujitoa kwenye Muungano. Tumeweza kuwajibu bila kuwaonea uvivu kuwa wakitaka kutoka...
9 Reactions
47 Replies
4K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kushtukia mchakato wa Katiba Mpya nchini na kubashiri kuwa Katiba hiyo haitakuwa na tija kwani inalenga kuwalinda na kuwanufaisha watawala...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Jana kazifungia hoteli 2 za kitali hapa Dar (Double tree by Hilton & Giraffe ocean view) kwa sababu ya uchafu. Cha kujiuliza kwa nini hajazfungia hoteli zingine za mawaziri wenzake ambazo list...
2 Reactions
28 Replies
7K Views
Tuesday, December 25, 2012 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiagana na balozi mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Sheikh Mansoor Al-Busaid baada ya mazungumzo yao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
http://blip.tv/mzalendonet/tunaoutaka-ni-muungano-wa-maslahi-kiuchumi-sio-vitunguu-na-mbatata-mansour-6454456
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mh. Godbless Lema,Mbunge wa Arusha Mjini, ni zaidi ya mwanasiasa. Ni mwanaharakati aliyekamilika. Ni mwanafalsafa na mtu jasiri. He makes the government works through his creative challenges. Ni...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Mawazo mazuri, busara, hekima na upeo wa kunyambulisha mambo si matokeo ya shule kubwa bali ni kipaji tuu. shule inaongezea kidogo tu. Mfalme Suleimani alisoma wapi kuwa social psychologist kiasi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Siku chache baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuutangaza mwaka 2013 kama mwaka wa kazi kupitia falsafa ya nguvu ya umma na Movement For Change (M4C), Chama Cha Mapinduzi CCM...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Kunaposti ambayo tangu juzi ipo humu. Kumekuwa na tetesi kuwa Mbunge wa Ileje Mh: Ariko Kibona hajafanya chochote na Kuhamia Tukuyu. Nilitegemea Kibona aje hapa jf atoe utetezi juu ya hili...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mhe. Lema leo alifuatana na makamanda wa CHADEMA wa jijini London kukagua moja ya vitendea kazi vya M4C ambapo pamoja na ununuzi wa vitendea kazi Lema atafungua tawi la CHADEMA London kesho...
28 Reactions
291 Replies
24K Views
heri ya x-mass wana jamvi,naomba nisitoe theory AU technical terms za aina yoyote ile ili kila mtu aanze mwanzo Tangu niwe na akili timamu nimeshuhudia kuchapwa kwa fedha(hapa namaanisha...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwanza napenda kuwasalimu wanaJF na watz wote, Ni mara yangu ya kwanza kuweka maandishi humuJF (I`m a new member) lkn si mara yangu kusoma debate na taarifa mbalimbali za humuJF, kama tujuavyo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Na zile ahadi 1001 za JK wakati wa kampeni 2010 ilikuwa ni usanii au hadaa? Ati sasa yuko tayari kushughulikia uhai wa mbwa mwitu huko msituni kuliko uhai wa wananchi wake ambao kuna baadhi...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Kila mgogoro CDM umekuwa unahusishwa na CDM masalia kama wanavyowaita, wakiongozwa na ZZK. Sasa mgogoro wa Karatu ni mkubwa zaidi, Je kuna mkono wa masalia humo? Au ni siasa za kibabe za babu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimedai kushtukia mchakato wa Katiba Mpya nchini na kubashiri kuwa Katiba hiyo haitakuwa na tija kwani inalenga kuwalinda na kuwanufaisha watawala...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumekuwa na historia ya wakuu wa majeshi yetu kujitokeza na kugombea ubunge mara tu baada ya kustaafu. Na hii hutokana na baadhi yao kukosa nafasi za kuteuliwa kama Mkuu wa Mkoa ama Wilaya. Pamoja...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Initially Lema was not my bread and butter. But he has earned and now he's won my admiration. What stands out most is his attitude. Lema is very daring, he's also aggressive (which suits the...
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Muhariri wetu Salim Said Salim Zanzibar HIVI karibuni imeelezwa kuwepo mpango wa kutaka kuwashirikisha kikamilifu wananchi wa Zanzibar katika mchakato wa kutoa maoni kwa sheria...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kuna mtu ameniambia leo ni siku ya nne tume ya ukusanyaji wa maoni ya katiba iko jijini Arusha lakini wamekuwa hawa tangazii watu sasa mimi najiuliza usiri huu wa nini nani anafaidika kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezidi kuaminika nchini na kuchukua nafasi zilizokuwa zinashikiliwa na CCM baada ya kujinyakulia kiti cha mwenyekiti wa kijiji cha Ibambo na...
16 Reactions
111 Replies
10K Views
Back
Top Bottom