Chasimbachatembo
New Member
- Dec 26, 2012
- 2
- 0
Within the following week, the Villagers of the Chasimba are going to post all documents and details of all FISADIS who want to trespass this area through Wazo Twiga Cement. Please be patient to wait.
eneo ni la kiwanda,wewe ni mvamizi.huogopi lile vumbi la cement?
Within the following week, the Villagers of the Chasimba are going to post all documents and details of all FISADIS who want to trespass this area through Wazo Twiga Cement. Please be patient to wait.
tumewachoka wa chasimba maana mnaendeshwa na ujinga na watu ambao ni walundi na wanaopenda vurugu siku zenu zinahesabika maana mama tibaijuka bado hajusoma vizuri ujinga mlio muongopea two weeks ago.
Nathani Mungu anatakiwa king ilia Kati kwenye akili yako na unatakiwa uokoke ili lugha yako iwe ya kistaarabu