Philip Mangula vs Dr. Willibrod Slaa

Nani mkali kati ya MANGULA na DR. SLAA?

  • MANGULA

    Votes: 7 5.3%
  • DR. SLAA

    Votes: 126 94.7%

  • Total voters
    133
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.

Robson Mulabwa

Senior Member
May 9, 2011
119
0
Wadau kama tuwajuavyo majembe hayo mawili wote wamepata kuwa na hadhi ya ukatibu mkuu wa chama ingawaje mpaka sasa dr. slaa bado ni katibu lakini katika utendaji wao hawa watu kila mtu ana mafanikio yake hasa historia zao za kutukuka sasa je kati ya hawa unafikiri ni yupi ana mvuto na uwezo zaidi wa kiuongozi?? piga kura yako
 
mtz one

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
4,230
2,000
Kwa ccm cjaona mtu wa kushindanisha Dr.Slaa labda kama unataka aibu tu humu labda chama kingine tena sio Tanzania

mkuu acha ushabiki kumbuka huyu mzee mangula alikiweza na kukitumikia kwa uwezo mkubwa ccm ni wakati wa uongozi wake ktk uchaguzi wa 2005 JK alishinda kwa asilimia 80 je huoni ni mafanikio makubwa mbona slaa 2010 alishindwa kubuni mipango na usimamizi wa ushindi???? tafakari
 
mtz one

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
4,230
2,000
Mkuu wangu ni matusi makubwa kumlinganisha Dr Slaa na Bwana Mangula.
japo post si yangu naomba nikwambie tuache ushabiki wa kiroho huwezi kumlinganisha mangula na slaa kwanza mangula aliongoza CCM kama taasisi na wanachama wengi huwez kumlinganisha na slaa anaeongoza kampuni jadili kisomi mkuu
 
The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,497
2,000
Hebu futa kauli yako kwanza,yani mtu mmoja wa c.c.m hawezi kushindana na slaa,labda waungane wapambane nae kama kundi,group/c.c.m vs dr. Slaa
 
The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,497
2,000
Kwahiyo we ndo unaona umejadili kisomi siyo,hebu tuletee ushahidi CHADEMA imesajiliwa kama kampuni na siyo chama cha siasa,nna mashaka na huo usomi wako
japo post si yangu naomba nikwambie tuache ushabiki wa kiroho huwezi kumlinganisha mangula na slaa kwanza mangula aliongoza CCM kama taasisi na wanachama wengi huwez kumlinganisha na slaa anaeongoza kampuni jadili kisomi mkuu
 
Robson Mulabwa

Senior Member
May 9, 2011
119
0
Hebu futa kauli yako kwanza,yani mtu mmoja wa c.c.m hawezi kushindana na slaa,labda waungane wapambane nae kama kundi,group/c.c.m vs dr. Slaa

mangula nafikiri ni zaidi coz ameongoza CCM taifa zima na kama tujuavyo CCM na CDM ni mlima na kichuguu huwezi kusema slaa anamzidi mangula vinginevyo ni utashi wako binafsi
 
BAPUPEGHE

JF-Expert Member
Dec 14, 2012
220
0
Mangula ni kiboko kwa kila Kitu, hata babu analijua hilo. Slaa hata huwezi kumfananisha na Komredi Mangula.
 
Robson Mulabwa

Senior Member
May 9, 2011
119
0
Kwahiyo we ndo unaona umejadili kisomi siyo,hebu tuletee ushahidi CHADEMA imesajiliwa kama kampuni na siyo chama cha siasa,nna mashaka na huo usomi wako

kwa kampuni hata mimi naweza kukubali coz unapoongelea CDM unaishia na LISU MBOWE NA SLAAA but ukija CCM unazungumzia watu milioni 6 mkuu
 
mtz one

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
4,230
2,000
Hebu futa kauli yako kwanza,yani mtu mmoja wa c.c.m hawezi kushindana na slaa,labda waungane wapambane nae kama kundi,group/c.c.m vs dr. Slaa

hahaha mtu mwenye sifa ya UTAASISI ni rais peke yake huyo slaa apambanishwe na kundi la watu kwa lipi??? UONGO wake AU?
 
idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
24,368
2,000
mkuu acha ushabiki kumbuka huyu mzee mangula alikiweza na kukitumikia kwa uwezo mkubwa ccm ni wakati wa uongozi wake ktk uchaguzi wa 2005 JK alishinda kwa asilimia 80 je huoni ni mafanikio makubwa mbona slaa 2010 alishindwa kubuni mipango na usimamizi wa ushindi???? tafakari

Mangula alifanya kazi gani.? Ikiwa Polisi,jeshi,Tiss,wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wote walitumiwa na wanatumiwa na ccm katika kuhakikisha ushindi..! Mpe heshima yake Dr.Slaa,maana anafanya kazi kwenye mazingira magumu sana.!
 
mazingira magumu kudidimiza akina ZZK??? MANGULA kaongoza akili za watu 6,000,000 vp huyo babu yenu??
 
Lyimo

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,824
1,225
mkuu acha ushabiki kumbuka huyu mzee mangula alikiweza na kukitumikia kwa uwezo mkubwa ccm ni wakati wa uongozi wake ktk uchaguzi wa 2005 JK alishinda kwa asilimia 80 je huoni ni mafanikio makubwa mbona slaa 2010 alishindwa kubuni mipango na usimamizi wa ushindi???? tafakari
Kumbe kuchakachua matokeo kwa kutumia usalama wa Taifa, majeshi na viongozi waandamizi serikalini ni mbinu iliyobuniwa na mzee Mangula?
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom