Mwanaharakatihuru
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 477
- 120
Siku moja baada ya maaskofu kutoa tamko la jumuiya kikristo huko zanzibar padri apigwa risasi kichwani. Ikumbukwe katika tamko lao waliainisha kuwa kuna mauaji yamepangwa zidi ya wachungaji, maaskofu na mapadri. Katika sakata hilo likiendelea kambi ya masista yavamiwa je ni wapi tunaelekea......Nachelea kusema ngoma ivumayo......