Malimbikizo ya walimu nongwa?

Malimbikizo ya walimu nongwa?

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
802
Serikali naidai malimbikizo ya mishahara yangu, wakubwa wanasingizia hela zipo wilayani

waongo wakubwa, ukiendwa mishahara ofisi za wilaya wanasema wamepeleka majina yanayodai hazina

hii sio laana ni nini? wasio na deni mbona hawaji kuwasumbua, tangu mwaka 2006, wengine na saba wengine 2008

mpaka sasa wanadai, kibaya zaidi wamekuwa waongo wakubwa, wakati wa mgomo wa walimu walijifaragua

kuwaambia wakuu wa shulewaandikishe majina na madai, yakapelekwa kwa mkurugenzi, kwa kweli

wataungua moto kwa mungu, naeseka sana kwa sabb sina hela za kufanya mambo ya maisha ya wanangu ya baadae

Hivi raisi anajua au hajui? nipeni jibu PLEASEEEE WATU WA IKULU si mupo hapa, Rais anajua au hajui??

kama anajua kwa nini anapata dhambi ambayo hajastahili? mshahara ameshindwa kuwakonga walimu. na hela zetu za halali je? hii ni halali yangu naomba changu...pesa zangu...walimu tumekuwa afadhali mabaa medi!!
 
kelele za nini,Rais alishasema kwenye hotuba yake mwaka fulani kuwa suala la malimbikizo ya malipo ya walimu halitatokea tena.Akatoa mfano kuwa kuanzia sasa walimu watakao kuwa wakipanda madaraja fungu lao litakuwa kwenye bajeti.usishangae hapa halmashauri ya jiji mwanza kuna orodha iliyotumwa hazina ya majina ya mamia ya walimu wanaosotea malimbikizo ya mishahara yao kwa miaka sasa bila mafanikio kwa kisingizio cha hazina.Vuta subira rais wetu ni msikivu ila watendaji wanamwangusha
 
Pole mwalimu,
Tatizo lipo hata hapa kwetu Singida.Utaambiwa majina yamewekwa kwenye bajeti then bajeti imepunguzwa.
Hapo unatakiwa usahau maana ndiyo umekosa daraja,mpaka mwaka mwingine!
Ushauri: majina yawe wazi na wenye malalamiko washughulikiwe kuliko kificha majina mwisho wa siku mwalimu anakosa haki zake za msingi.
Komaa nao mwalimu,unga robo.
 
afadhali umeelezeea ukweli wa HALMASHAURI ya huko, mimi hapa ni jijini dsm kwenyewe. wanadanganya, mimi najua rais haya mambo hajui, wanamdanganya..Rais asipoamka mwenyewe kuweka watu waaminifu tutauana. CWT ni wachawi
 
Pole sana kama unategemea malimbikizo ndio ufanye mambo yako. Jiongeze wewe ktk dili zingine.
 
Ndiyo mkome kusaidia kucakachua vijijini wakati wa uchaguzi eti ili upangiwe uchaguzi mwingine. Haya ndiyo matokeo yake.
 
Poleni sana wenzetu,huko kigoma nako wamekuja na kali ya mwaka.Nanukuu"aliyepeleka areas claim fomu zenu hazina hakuwa afsa utumishi isipokuwa alikuwa mtu mwingine hivyo hakuwa na password ya mkoa na alishindwa kuziingiza na akalazimika kurudi nazo tena kigoma tunamuandaa afisa utumishi mwingine azipeleke tena hii ndio serikali yenu"Hivi mtu anapewa night na malipo mengine kutoka kwenye kodi zetu bila sababu Kwa NINI?
 
Back
Top Bottom